Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
Nimekua nikiona watu wanavaa ''PETE zaidi ya moja VIDOLE vya mikononi na baadhi VYA MIGUUNI'' wengine huvaa hata mbilimbili...mimi nilidhani kila pete ina inamaanisha ina mtu wake....nielimisheni tafahali....