hebu nisaidien kwenye hili

Alwayz on top

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
706
264
Kuna girlfrnd wangu nadate nae almost 4 months now sasa kuna mshkaj wangu amenambia yule demu anatoa tgo me kila nikimgusia anasema hapend kabisa je! nifanyeje? ili nijue kama kweli
 
Wataka kupitia MLANGO WA NYUMA weyeeee! Laanakum mkubwa huyo dada! Ngoja TIQO na BOFLO waje watajua la kukwambia!

Ila ujue tu SODOMA NA GOMORA hawakuishia VEMA!
 
Wewe kwa nini usimuamini huyo binti mwenye tigo yake badala yake uende kumuamini mshkaji wako??
Au mnamshare huyo binti bila yeye kujua?...............Zaidi muulize huyo aliyekwambia yeye alifanyaje akagundua..
Sisi hapa naona unatupa mzigo usiotuhusu!!
 
Kama ilivyokuwa siku za nuhu ndivyo ilivyo hata sasa
kile kisodoma na gomora kinaanza kurudi kwa kasi sana
Biblia imeandika wala tigo na waliwa tigo Mbinguni hawaendi
 
Jaman mnanilaum bure huyo rafik yng ameckia kwa watu tabia za huyu demu kama anawapa watu nje mimi ninaemuhudumia kwanin acnipe nifanyeje nimgundue hyo tabia yake.
 
Jaman mnanilaum bure huyo rafik yng ameckia kwa watu tabia za huyu demu kama anawapa watu nje mimi ninaemuhudumia kwanin acnipe nifanyeje nimgundue hyo tabia yake.

Kwa hiyo na wewe watamaniiiii KUMNYORODOA MTOTO WA MWENZIO MARINDA yake!!!!!! ASTAKAFILU!!!!! Kabisaaaaa! Unahamu upewe nyama ya ****? Kama wataka kujua wewe mwambie kuwa wewe au mtumwengine ANAFAGILIA MAMBO YA MOMBASA!!! Umsikilizie, ukimuona anaunga mkono itikadi za CAMEROON basi muelewane. ILA KAA UKIJUA WALA VIBOGA WOTE WANAKUA MAHANISI angali wadogo sana!
 
hakuna jambo linakera kama kuwa na mpenzi ambalo kutwa anasikiliza maneno ya nje

Inakera ile mbaya! Yaan utakuta partner hachuji maneno na wala hafanyi research binafsi..mwisho wa siku ana conclude tu. Mbaya sana...na utakuta mtu hadumu kwenye mahusiano kwasabab hiyo..
 
Kwa hiyo na wewe watamaniiiii KUMNYORODOA MTOTO WA MWENZIO MARINDA yake!!!!!! ASTAKAFILU!!!!! Kabisaaaaa! Unahamu upewe nyama ya ****? Kama wataka kujua wewe mwambie kuwa wewe au mtumwengine ANAFAGILIA MAMBO YA MOMBASA!!! Umsikilizie, ukimuona anaunga mkono itikadi za CAMEROON basi muelewane. ILA KAA UKIJUA WALA VIBOGA WOTE WANAKUA MAHANISI angali wadogo sana!

na wewe una kiboga?kimenona?
 
Kuna girlfrnd wangu nadate nae almost 4 months now sasa kuna mshkaj wangu amenambia yule demu anatoa tgo me kila nikimgusia anasema hapend kabisa je! nifanyeje? ili nijue kama kweli

Ina maana kila utachofanya na GF wako utakuwa unatuambia au kutaka ushauri kwetu? Halafu mbona humuheshimu huyo mdada? wize up bwoy
 
Si uchungulie ili ujue kama ni kweli mbona zenye vizibo na ambazo zimebomoka zinajulikana.Harafu iweje rafiki yako aujue mwili wa demu wako kuliko.
 
sasa ww kinakuuma kuliwa tigo au kugawa K?
manake km umesikia anatoka na watu wengine hilo halikuumi ila hilo la tigo ndo linakusumbua.........
 
Huyo rafiki hovyoooooooooooo!!!!!!!!!

Na wewe hovyooooooooooooo!!!!!!!!!

Kwa hiyo yeye kaona la Tigo ndo la kukuambia wewe

Inavyoonyesha wote tabia zenu moja

Msingeanza kuongelea huo u****** wenu
 
Jaman mnanilaum bure huyo rafik yng ameckia kwa watu tabia za huyu demu kama anawapa watu nje mimi ninaemuhudumia kwanin acnipe nifanyeje nimgundue hyo tabia yake.

Makubwa kumbe yote hayo maneno hujali....unachojali kwanini nawewe hupewi....muulize mwenyewe si tutajuaje?

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Jaman mnanilaum bure huyo rafik yng ameckia kwa watu tabia za huyu demu kama anawapa watu nje mimi ninaemuhudumia kwanin acnipe nifanyeje nimgundue hyo tabia yake.

kama uliingia kwa gia ya uhusiano wa muda mrefu au ndoa hutapewa kamwe ni bora hata muachane lakini hutapewa nyuma.....km kweli anatoa tigo kaka imekula kwako hiyo ni kwa ajili ya wenzio na sio ww unaetaka kuoa.ulichokosea umeuliza ungekaa kimya halaf ujaribu kimya kimya km na ww unataka kupewa.....ila pole......LISEMWALO LIPO
 
Jaman mnanilaum bure huyo rafik yng ameckia kwa watu tabia za huyu demu kama anawapa watu nje mimi ninaemuhudumia kwanin acnipe nifanyeje nimgundue hyo tabia yake.

Sio kwamba unashambuliwa, ila tu namna ulivo leta mada yako inafanya ushindwe kueleweka... Alwayz on top jina lako tu linadai unapenda kuwa juu... Haya mambo ya kiboga yametoka wapi?? Mbona kama vile unamvunjia heshima mpenzi wako? Inakuwaje kuwa rafiki yako unamuamini maneno yake (ni yaonesha hajawahi lala na mpenzi wako ila tu kasikia kwa watu); alafu hapo hapo mpenzio kakwambia kuwa hio tabia hana hutaki kuamini...

Sijaelewa, hio tabia ulisikia baada ama kabla ya kuwa katika mahusiano? Sababu kama ulimtongoza hicho kikiwa kama kigezo yeye tayari kisha kuambia kuwa hataki, kuna haja kweli ya kulazimisha? Alafu hizi topics na lack of kulitafakari swala kwa undani ndicho hicho ambacho hupelekea kuuliza umri wa mleta mada...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom