Hewalaaaaa!!!
Huu ndio wakati niliokuwa nausubiri...ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali...
Thread No. 1 : 16th October 2013
https://www.jamiiforums.com/love-connect/539051-natafuta-mchumba.html
Katika thread ulikuja hapa kutafuta mchumba, ni kitu chema mwanaume au mwanamke kusaka mchumba.
Thread No. 2 : 28th December 2013
https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-ni-lip-na-ungekuwa-wewe-ungefanyeje.html
Mara hii ukarudi tena na hii thread ukijawa na malaumu na vilio vya kivulana, ukalalama kwamba unahisi mchumba wako amekucheat.
Kwa haraka mtu anaweza akafikiri ni huyo mchumba uliyempata baada ya bandiko la Thread No. 1 hapo juu.
Lakini ndani ya thread hii umebainisha kuwa umekuwa na mahusiano na binti huyo kabla hata hujaja hapa kutafuta mchumba, au kwa lugha nyepesi ni kuwa wakati watafuta mchumba hapa JF ulikuwa na girlfriend huko kitaa.
Nanukuu:
Leo unakuja hapa ukijifaragua namna ulivyofanya ufirauni wako na kuomba ushauri kama vile hujui ulilofanya ni kosa...
Si ajabu huyo uliyomtenda ni yule uliyempata baada ya bandiko lako la uchumba humu ndani, na mbaya zaidi ulimpata huku ukiwa na mwanamke mwingine...
Je kwa nini mtu wewe tusikuite mzinzi kama sio muasherati?
Muogope Mungu kijana....
Yan ww c mzma, umekutana na mdada wa jf mmefanya hayo yote then unayaleta tena humu.
Akiiona hii thread unadhani atakuwa na hamu na ww tena.
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyomlopokaji.!!
wewe ulitaka iweje? Jenga hoja
Grow up buddy.halafu nina wasi wasi na jna lako hlo double k( k * m* au?
Ulimtamani haukumpenda,..
Mkipewa papuchi kwa haraka mwasema haaminiki mukicheleweshewa anaringa khaa..
Mdada wa watu kajitolea wee lakini ndo hivyo haumuamini,
mbona yeye kakuamini bila kuzingatia huo umbali wenu?
...
Friends match afu ukamgegeda
Una umri gani wewe
Huyu atakua chini ya miaka 18 hii akili ya kitoto kabisaaa
halafu nikuulize hv ww ni mwanamke au mwanaume? Kwenye koment yako naskia harufu ya papuchi
Ooh eti alinivuliaje chupi wakati hanifahamu, nikuulize tu we ulipokuwa unavua boxer yako ulikuwa unamfahamu? Yaani nashangaa sana hili jukumu la kujitunza wanapopewa upande mmoja tu yaani ke kwani mehawapaswi kujitunza? Na wewe ulitakiwa ujifikirie fikirie mara mbili kwamba mdada haumfahamu, haujui background yake kisha ufanye maamuzi. Kujirahisisha kwake kusiwe tiket ya wewe kumtumia tu utakavyo hata bila kujali afya yako kijana.
kwa hiyo wewe sio kicheche kwa tabia zako hizo, ulipovua boxer yako ulikuwa unajua unamwabudu Mungusikuwa na malengo naye nilitaka kupiga na kusepa. Kuwa mke anasifa zote na ni mzuri kweli ila sina iman nayeye kama ni mwaminiifu au ni kicheche
Afu anajidai eti alimpenda nyooo unajua maana yakumpenda mtu wewe dogo eeee.afu nahisi huyu ni dogo wa secondary amekula ada sasa shule zimefunguliwa ajarudi kilichobaki uzinzi koz a matured man cant be as silly and stupid as you.shame on you.rudi kwa mshua kamweleze umekula ada akupe urudi shule khaaa
unaogopa nini hasa?mbona ulisema unampendaaa?unaagiza chakula halfu unaoagopa kukila?ulitaka nini hasa kwake ulipomwita mpaka akakufuata huko,inavyo onekana na wewe hujui unachotaka kwa huyo binti,kaa chini ujitafakari na uchukue hatua...