Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Habari zenu kwa kila mmoja,
Naam bila kupoteza muda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaani, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakini huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi.
Dada wa watu bila hiyana akaja, Kweli tukaonana siku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kiasi na sikuamini kama ni binadamu wa kawaida nilifikiri ni jini.
Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mimi, siku hiyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumbani kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane.
Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizuri kwanini anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizuri je kwa wengine atashindwa vp?
Japo nimejaribu kumpeleleza sana kazini kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mimi nampenda ila imani naye sina naomba ushauri wenu.