Hebu nielezeni labda mie mshamba

sijajiona mjanja. simuelewi anachotaka. kwani amefikia hatua ya kunifwatilia nyendo zangu hadi kuchunguza simu zangu nawasiliana na nani. nami nimemwambia siwezi kuwa nae mpaka atakapoufanya maamuzi
Inaonekana mtamu sana wewe ndio maana jamaa anashidwa kukuacha, utamu unatofautiana ujue...!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Haya ndo mambo ya kuagiza kitu halafu ukaona alichoagiza mwingine ni bora kuliko ulichoagiza wewe.
 
mhudumu naomba juice ya miwa na mihogo yakuchoma...hizi story za ijumaawikenda na kiu..
 
Ukikua ndipo utakapowajua wanaume!
 
Tumia fursa hiyo wala usivungee! Mtajuana mbele kwa mbele
 
Ushawahi ona chatu anavyovizia Ndezi??? Zubaa tu uone...!!!

Wajinga ndo Waliwao by FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Wanaeake bwana..... kwa hiyo jamaa anavyokustalk ndio unadhani anakupeeenda eeeh?

Kalaghabaho
 
tumeongea sana. ila tatizo alishajitambulisha kwa wazazi wa mwanamke na kuahidi kwenda kutoa mahari. na mwanamke ametishia kujiua mara tatu kila akimwambia anamuacha, na mbaya zaidi mwanamke kahamia kwa jamaa.

Kazi ndogo,oleweni wote wawili
 
Wewe huyo hakupendi! Ukiona mtu kapenda sehemu mbili kwa wakati mmoja basi ujue yule wa pili ndo anapendwa! Sababu sijui ila ndo hivo..... Shtuka!
 
Naona hata uvivu kukujibu.

muombee kwa miungu labda atabadilika.
 
Wala hatakaa akue, she is a retard! Kama kwa kusoma jf bado hajaelewa wanaume, atakuwa na genes za le mutuz huyu. Hebu endelea kunitongoza mwaya, naomba ufuatilie simu zangu basi.

Unasemaaaa?
 
Wala hatakaa akue, she is a retard! Kama kwa kusoma jf bado hajaelewa wanaume, atakuwa na genes za le mutuz huyu. Hebu endelea kunitongoza mwaya, naomba ufuatilie simu zangu basi.
Hahahahahaaaaa, hapo kwenye red pamenichekesha sana, dah! We mwanamke kauzu kweli!! Hata hivyo baby mimi siyo kama bwana wake na cherylsweet, nikubali basi walau kila akiondoka paw niwe nakuja 'kufukia mashimo' ambayo yeye hakuyaona wakati wa game! Sawa baby??!!
 
Last edited by a moderator:
sijajisifia nimesema hivi "anasema ananipenda"

Hamja onana miezi 2 na sasa anaye mwanamke mwingine lkn bado anakupenda?Ndiyo kupenda gani sasa huko?

Kuwa makini wewe demu,jamaa kamiss papuch yako tu,atakufanya mchepuko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…