Ingawa sijaelewa kati ya wewe na yeye nani anaehitaji kushauriwa.
Ila ngoja nianze kama ifuatavyo, yawezekana jamaa anakupenda kiukweli lakini anaona wewe si waifu matirio kutokana na vigezo vyake ambavyo kajiwekea kuhusiana na mke anae muhitaji. Pia yawezekana alikokwenda ameona hapamfai na akaona wewe unaunafuu kuliko huyo alie mpata.
Nakushauri usiogope, kuwamjasiri, muite na uzungumze nae, kama akikubali kuishi na wewe, usione hatari kulamba matapishi kwakua nawe unaonekana kumpenda, then maisha yataendelea kama kawa na wenye kusema watasema alafu watanyamaza