Hebu niambie ungekuwa wewe ndo huyo Kinyozi ungekuwa unawaza nini?

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
461
392
Mmmmmh!
1463086220883.jpg
 
Ingekua bongo huo mtaa wote hukuti watu na polisi nao wanavizia hakuna wa kusogea yaani sio raia wala polisi wote waoga ila ikipigwa wabongo wanakimbilia sauti kwenda kujua kuna nini yaani bongo ni shiiiidah
 
Naona kama lijamaa limeshikiria trigger ukizingua kichwani kwake tu anatibua sherehe
 
131114_mikhail_kalashnikov_ap_605.jpg
Naona kama lijamaa limeshikiria trigger ukizingua kichwani kwake tu anatibua sherehe
Patashika nguo kuchanika ndugu! .Kalashnikov hana maana kabisa watu wanabuni vitu vya kurahisisha maisha na kumsaidia mwanadamu yeye kabuni hilo li kitu. Eti engineer! akijinasibu mbunifu!
 
Kinyozi anaonekana kujiamini na amenuna kweli. Atakua naye ana lake hapo pembeni.
 
Back
Top Bottom