Ninaye gf wangu ambaye nmekuwa nae kwa takribani miezi 8 sasa, sasa shida ni kwamba yeye huwa mara nying hapendi kunipigia cm had mim nifanye hvyo sasa ikafka kipind ukipanga kuonana anatoa excuse mim nikaona kama naibiwa nkaamua kuwa kmya kwa kipndi kama cha mwez hivi. Sasa cha kushangaza muda wote huo hakuwai kunipigia cm wala sms cku nliyokuja kumpigia cm akaanza kunielezea hadi stor za wanaume wengne wanao mtongoza sa mi nahc kama hanipend vile maana kila nspomtafuta kwenye cm naye anakaa kimya na tukipanga kukutana anatoa excuse..
'wenye msaada tafadhali naomba wachangie'
'wenye msaada tafadhali naomba wachangie'