Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Feb 9, 2011 #21 Mkuu Wewe ni mkali wa kugundua mambo yasioweza kufikirika kwa haraka..hii picha nimeshaingalia mara kadhaa lakin sikuweza kuona hiyo mavitu uliyogundua. Kweli mkuu hatutoendelea..too much kiongozi Mtu wa Pwani said: kwa kweli mkuu ni mtafiti na mpembuzi hii kali Click to expand...
Mkuu Wewe ni mkali wa kugundua mambo yasioweza kufikirika kwa haraka..hii picha nimeshaingalia mara kadhaa lakin sikuweza kuona hiyo mavitu uliyogundua. Kweli mkuu hatutoendelea..too much kiongozi Mtu wa Pwani said: kwa kweli mkuu ni mtafiti na mpembuzi hii kali Click to expand...
N niwaellyester1 Senior Member Joined Sep 7, 2010 Posts 123 Reaction score 22 Feb 12, 2011 #22 katoto kazuri ila mihirizi hiyo ya nn? ni kumuharibia future yake jmn
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 12, 2011 #23 Haya bana mimi simo ugomvi huyo kwani baba yake yupo humuhumu jamvini