Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,478
- 283,879
Kila ubaya hulipwa, ni suala la mudaAlipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
HakikaKila ubaya hulipwa, ni suala la muda
Ubaya ubwela!!!Ubaya uboya.
Hivi Sabaya yukwapi saivi😂😂 ila KARMA is realAlipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijihatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tzAlipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Jikite kwenye madaChadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Umezaliwa lini?Huyo Lena ame kuwa nabii wa Mungu toka lini, au ni kuji pamba uonekane perfect?
Nionyeshe ukubwa wako kwa maarifa na vitendo, na sio vyeti vya hospital maana sisi wengine tume zaliwa porini.Umezaliwa lini?
mwana chama wa kawaida wa CHADEMA mmoja sawa na viongozi wa UVCCM 10,000 na kiongozi kanda mmoja wa CHADEMA ni sawa na viongozi wote wa juu wa CCM wa CCM hadi sasa hakuna mwana ccm yeyote dunia hii anaye weza kufikia hata hadhi ya msemaji wa CHADEMA kwakweli gap kati ya CHADEMA na CCM ni kubwa sana sana kifikra na kiuelewa.Chadema mnakwama kwa sababu chama chenu kuna watu wapumbavu wengi kama wewe ....chama makini kinatakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa ....chadema imekusanya wapumbavu wengi chamani amini msi amini ninacho sema ...mfano njia za kumkabili samia zipo ila amzijui mnakwenda kwa kupapasa ....japo kumwondoa mbowe mmefanya jambo la msingi na la akili ila mlichelewa sana ....kuna vijiatua mnavipatia chini ya Lissu ila mnabugi vibaya sana mnapo jaribu kuwaaminisha watu kuwa samia ni sawa na Jpm au kusema kuwa jpm ni kiongozi wa hovyo wakati watu wote wanajua hakuna mzalendo zaidi ya jpm tz
Hayo masiasa yako kama yamekuvuruga sana basi ni vyema ukaachana nayo au ukapumzika.Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Unadhani kama sio yule alikuwa mwamba kipindi cha JPM.Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu)