Hebu mshauri huyu mama

Mungu wangu!!! Mbona majaribu hayo
Nimerudia kusoma Mara 3 .. namuonea huruma huyo Mama

#kiatukinabanaaisee
 
Usipotoa hizo mimba utakuwa huna sifa za kufanya kazi kimataifa. Haihitajiki hata cheti cha la saba kujua ufanye nini. Na usipofanya hivyo utaongeza tatizo lingine, WANAO WOTE WATAKUCHUKIA maisha yao yote.
Familia ndo hiyo inaelekea kuteketea.
 
uyo mtoto wako wa kiume ni rafiki wa karibu sana na shetani, this is too much, ila usipanic, no way out abortion itahusika, au familia itakuwa ni kituko, uyo wa kiume wala usimtafute alale mbele
 
uyo mtoto wako wa kiume kama ameondoka wala usimtafute, alale mbele, uyu atakuua kwa presha
 
Hao watakao zaliwa ni laana hivyo iondoe hiyo laana kabla ya kutokea. Pili unapoenda kuzitoa, huyo baba yao hizo mimba yaani huyo mwanao ajue hatari aliyoiletea dada zake hivyo asije rudia tena. Chunga sana usije mlaumu mbegu ya chuki ikamea kati yao
 
Hao watakao zaliwa ni laana hivyo iondoe hiyo laana kabla ya kutokea. Pili unapoenda kuzitoa, huyo baba yao hizo mimba yaani huyo mwanao ajue hatari aliyoiletea dada zake hivyo asije rudia tena. Chunga sana usije mlaumu mbegu ya chuki ikamea kati yao
Ila wahindi wanaoana wao kwa wao ili ku-maintain economic status-kwamba Mali izunguuke kwenye family/ukoo sio Mali ihamie kungine
 
Usitusemee hutujui wanawake wote, uwage na adabu siku Moja moja basi
 
Eee tumia likizo ya corona kufanya mchakato kabla hawajarud shule

Ila inakuaje analea watto kimayai hiv yan nikikumbuka enzi zangu miaka 17 naosha mpaka vyombo na kudek nyumba leo hii watto watatu hawafanyi kazi maana yupo msaidizi anaekuja kuwafanyia hili limechangia sana wao kufanya ujinga maana hawana shuhul yoyote ya kufanya nyumban

Kwakipind hiki cha covid angemstopisha huyo mtu wa kazi alafu pangia vijana majukumu kila mtu awajibike kivyake hili lingesaidia kidogo kupunguza haya mauza uza

Juz nimekutana mtu mmoja wa karib sana na mm ananiambia kijana wake wa kiume age hii hii ya foolish age ameanza nyeto kudadis nikagundua kijana hana la kufanya yan yeye masaa yote ni simu simu na yeye na mb mzazi ndo anamuekea kwa siku 2 gb 1 sijui sasa hapo silazima atanyonga nyoka wake

Huko mtandaon kunavitu ving wanaangalia porn na mamb mengine ambayo yanafanya vitu vyaa ajabu kuwa vya kawaida kweny izo porn kuna zile za kaka na dada, mama na mtto , sijui babu na mjukuu huku kunaharibu sana hawa viumbe wanaokaa na masimu makubwa hawana kazi ya kufanya

Jaman jaman malez huchangia mapuuza kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu hapo wote wamebakana, hamna mwenye nafuu,wote watoto. Walianza kama masihara, siku nyingi, wamebalehe bado hawajitambui. Ni matokeo ya malezi ya hovyo yasiyo na msingi ya kidini.
Huyo mama akili kichwani mwake, wafanye analoona linafaa, kama ni dini, Mungu anajua mitihani anaopitia, atamsamehe, iwe ni kuishi na hiyo aibu na siri milele, kama kweli kuna siri, au zitolewe kuepusha balaa na mikosi katika familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
 
Ila hawawatto duhh sisi tumelelewa kwamba yan hata ukiona utupu wa dada yako kwa bahat mbaya unahis kufa kufa yan sasa hawa wajinga wananyanduana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona bora wazae tu.
Haina haja.abebe aibu ya familia tu.
Nakama hamna mtu mwingine anajua.
Mkae kimya hivyohivyo.ibaki siri yenu..
Pole.najaribu kuvaa viatu vyako.naona havinitoshi😭
 
Hizo mimba za kutoa tu,yaani watoto wametiana mimba wote wa nyumbani hiyo ni laana kabisa

MONEY STOP NONSENSE
 
pole sana mama.....huna wa kumlaumu zaidi yako wewe mwenyewe...kuna mahali ulikosea.....na ndipo tatizo lilipojipenyeza......ushauri wangu.......funga macho watoe hizo mimba.......utaleta kizazi kibaya na cha AIBU....., wewe na wanao ndio mjuao...........duh hicho kijamaa cha kiume.......sijui wataificha wapi aibu yao......ila ONGEA na MUNGU wako...uwe jasiri atakupitisha......mbele ni kubaya na kunatisha.....tengeneza sasa....pole bibie!!
baba wa hao watoto yaani MAREHEMU, aliondoka bila kinyongo??? maana kuna vitu vinatia kinyaa kama sio aibu....
 
Ila wahindi wanaoana wao kwa wao ili ku-maintain economic status-kwamba Mali izunguuke kwenye family/ukoo sio Mali ihamie kungine
Sawa kabisa lakini umewahi kukaa nao au umewahi kufika India? Unajua wanadamu wanaoitwa ma Dume Jike?? Yaani watu wenye jinsia mbili?? Hicho ni kizazi kinachotokana zaidi na wanaozaana mtu na dada/baba/mamake. Hao ni wengi sana kule India kiasi kwamba wana ulinzi usio wa kawaida kule yaani kila hospitali kuna nurse apelekaye ripoti anaposaliwa mmoja wao. Hivyo anafuatiliwa ili asiuawe. Je, ndiyo mnataka muanzishe mambo hayo hapa kwetu?
 
Duhhh mkuu Kama ndo hivo ipingwe vikali
 
Duh!!!. Huyo mtt wa kiume ss amefanya vibaya. Kama ni shetani bs amemkamata. Inakuwaje anatembea na dada zake?. Huu ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…