House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,206
Uko sahihi 100%Kama mimi ningekua mmama "NIGEITOA HIYO MIMBA BILA DISCUSSION"..!
Liwalo naliwe
samahani kwa niliowakosea kwa maoni hayo
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
Yaaani huyo dogo mpaka ameweza kukushangaza wewe. Basi itakuwa ameshindikanaDogo kaanza umalaya mdogo ivyo duuh ni zaidi Ya baharia.....
ila kuna watu wana matatizo ya kushangaza mno humu duniani...
Ndio sheria, zipo sheria zinazoruhusu utoaji mimba.Sheria?
Sheria ni kulea tu
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!