Hebu angalieni hii biashara ya mihadarati

Hebu angalieni hii biashara ya mihadarati

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,940
Reaction score
7,849
Nchi na wananchi wanashangaa. Watu hata hawana majina makubwa kwenye siasa za upinzani wanatekwa. Wasipouliwa au wakiokotwa hoi na kupona husikii kwa uhakika nini kimewapata.

Tukae tunatambua watu wa usalama pia wanahusika kuwalinda wafanya biashara wa mihadarati. Wenyewe wana siri kulindana na kulinda vinara wanaoshiriki kwenye biashara hiyo. Wana sheria moja. Ukitoa siri au kudhulumu bosi adhabu yake ni kifo. Wanatekeleza hiyo sheria kwa nguvu zote ndio maana kuna nidhamu ya juu ya woga kwenye hiyo fani.

Huenda tunanyosheana vidole bure dola na upinzani wakati wenyewe wamekaa wanacheka tu. Serikali ya wahuni haiwawezi wafanya biashara ya mihadarati. Wanawaogopa na wala hawathubutu kuwataja au kuwashughulikia ipasavyo.
 
Nchi na wananchi wanashangaa. Watu hata hawana majina makubwa kwenye siasa za upinzani wanatekwa. Wasipouliwa au wakiokotwa hoi na kupona husikii kwa uhakika nini kimewapata. Tukae tunatambua watu wa usalama pia wanahusika kuwalinda wafanya biashara wa mihadarati. Wenyewe wana siri kulindana na kulinda vinara wanaoshiriki kwenye biashara hiyo. Wana sheria moja. Ukitoa siri au kudhulumu bosi adhabu yake ni kifo. Wanatekeleza hiyo sheria kwa nguvu zote ndio maana kuna nidhamu ya juu ya woga kwenye hiyo fani.
Huenda tunanyosheana vidole bure dola na upinzani wakati wenyewe wamekaa wanacheka tu. Serikali ya wahuni haiwawezi wafanya biashara ya mihadarati. Wanawaogopa na wala hawathubutu kuwataja au kuwashughulikia ipasavyo.
Nipe connection kwenye ulimwengu wa mihadarati huwa napenda sana dili nene zenye kuwaogofya watoto wa mama.... nimechoka biashara ya kuuza sijui vifaa vya pikpiki sijui ujenzi ambapo hata wapuuzi wanafanya
 
Back
Top Bottom