yani hapa ndipo mahali watu wa CC wanaponichosha.....wanalala nini.....aaagh....
yani hapa ndipo mahali watu wa CC wanaponichosha.....wanalala nini.....aaagh....
Mie ndo nachukua bajaj hapa ambiance inipeleke home
kha!!!! me ndo mestushwa na morning glory.... za asbh da Preta?
Baba V we mbaya mbona hujamlipa yule dada hela yake wakt mmekesha nae pale kichochoroni... sio vizur bana yan mpk anakulilia hivo.. sema mwenye bajaji kamwonea huruma kamtoa buku ya nauli.. afu kaapa lazma akuoneshee next time ukirudi labda uhame kiwanja!!!!!!
Morning glory! Very good! Daily dose charminglady. usijibanebane bibie, full kujiachia dadadadake!
charminglady kwa kisukuma unaitwa chamingi ledio
We charminglady raha tupate wote afu nilipe na hela juu!?? tena yeye ndo alifaidi zaidi, hapo ngumu kumesa, labda anipe na risiti kabisa ili kesho nika crame hiyo pesa ofisini,lakini kutoka mfukoni mwangu no way!!
kasema ikirud anga zake jiandae kufededwa.....
Zilikuwa ni hasira tu zile, nikiibuka next week mwenyewe atanikimbilia, hapa nawaza mziki nitakaoucheza na huyu wa bajaj tukifika home kwangu kwa mnyamani, humu mfukoni nimebakiza mia na hamsini tu, naombea nikute mama V hajanuna aokoe jahazi otherwise nahisi kuchapika, afu mtu mwenyewe anaonekana bandidu balaa, niko kimyaa naombea hata kibajaji kiharibike hapa nipate sababu afu ntamalizia safari kwa mguu, ntajifanya niliamka kufanya mazoezi
aah.....wameniboa sana hao....nimekuja kutafuta chips zege hapo eti hamna.....wameniuzi.....Mie ndo n achukua bajaj hapa ambiance inipeleke home
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B wanasakata rumba,madam bii kapiga bonge la jeans mfuko wa nyuma kaweka chupa ya konyagi,invisibo bana sijui imekuwaje yuko peku viatu sijui kaviacha wapi,dadadadadeki.....,,,nitazidi kuwajuza...stay tuned.
aah.....wameniboa sana hao....nimekuja kutafuta chips zege hapo eti hamna.....wameniuzi.....
Jamani nafwa mieee...