Heavy snow

Heavy snow

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1421335911163.jpg
 
Hapo ni karibu na Njombe mjini unapokua unateremka mlima Khantwe anapafahamu vizuri
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni karibu na Njombe mjini unapokua unateremka mlima Khantwe anapafahamu vizuri

Mmmhh mpwa unamaanisha ule mlima wa kibena unaoanzia kibena hospitali? Hakunaga barafu mbona
 
Last edited by a moderator:
mwehh sister pale kibena ndio pamefanana hivi ??
na umekubali pale chini ndio njia panda ya kwenda kwetu

Yap braza mandhari inafanana....ukimaliza huo mteremko unavuka kimto kitogo then ndo unapandishia Ruhuji hapo ndo unakutana na ile barabara yetu pendwa....hom swit hom
 
Back
Top Bottom