unahisi Mungu amekukosea.....?swadataaaa... mtoto katulia haki ya nani ningepewa dushe mngekoma
swadataaaa... mtoto katulia haki ya nani ningepewa dushe mngekoma
unahisi Mungu amekukosea.....?
hahahahahaha ungepewa nini?
Mapoudaaaa...
Aliekuficha hongera zake huonekani yakheeee
Farkhina ulifanya uchoyo kwenye IDD bila sababu
Takukumbusha inshallah....!!!
swadataaaa... mtoto katulia haki ya nani ningepewa dushe mngekoma
Duh Mungu huwa anaona mbali sana!
Ukipiga denda unakuwa kama yeye
Kwani unalamba uso mzima