Health Officers - Nafasi Mbili

Health Officers - Nafasi Mbili

Shushushu

New Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
4
Reaction score
0
  • Rural Medical Aid
  • Rural Medical officer
  • Medical Officer
  • Bw/Bi Afya
  • Au mwenye sifa zinazolingana hata akiwa mstaafu.
KAZI YAKE:-

  • Kusimamia masuala yote usalama katika site ya ujenzi
  • Kuelimisha wafanyakazi kuhusu masuala ya usalama ili kuepuka ajali zisizo za lazima
  • Kutoa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi
  • Kumpeleka hospitali kubwa kwa ajali kubwa ambazo inabidi kufanya hivyo
  • Kutayarisha ripoti ya kila mwezi kuhusu masuala ya usalama
  • Kuhakikisha wafanyakazi wote wanavaa vifaa vya usalama wakiwa kazini
  • Kuhakikisha wageni wote wanaoingia site wanapewa vifaa vya usalama kabla ya kuingia eneo la ujenzi.
KITUO CHA KAZI:-


Mkoa wa Tanga


MSHAHARA:-


Maelewano


MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:-


Th. 4/07/2013 saa 10.00 jioni


VIAMBATANISHO:-

  1. Cheti cha elimu yake
  2. CV
  3. Mshahara unaotegemea.
Tuma maombi kupitia twavwanecontractor@yahoo.com na tajirika@gmail.com. Maombi yote yatajibiwa.


 
mimi nikishaona email za yahoo na gmail kwenye matangazo ya kazi huwa sijui naoneje
 
Back
Top Bottom