First of ol,nawapenda wanajf,..jaman,mbona hizi headings cjui titles sometimes na maelezo vinakuwa haviendani,2navutiwa na titles maelezo daah,ndo nini sasa

Kuna jukwaa la compalaints & congulats, hii thread ilipaswa kuwa huko na sio jukwaa hili. na wewe unaingia kwenye kundi lile lile jukwaa ulilotumia haliendani na maelezo yako.