He! Shoga anataka kunitoa

Kataa kabisaaa!!! Ndo mwanzo wa wewe kuwa kipikipiki pia.MKUU HIYO NI NYUMBA CHAFU HATA KAMA ITAKUWA YA KISASA VP KATAA KABISA
 
Unapewa hadi nyumba??? kweli umeisuuza roho yake(????)by the way kubali ili umuone mume mwenzio.usilog off tafadhali usome comment zingine
 

We acha
 
kwa shoga huyo mpaka akakuweka kumbukumbu hata baada ya miaka kumi ni lazima #ulimtafuna tena ulimkoleza laana tullaay
We! hutakiwi kudhania ni makosa mbele ya huyo aliyesema amenilaani,ila ukweli unaki kuwa sijawahi kukiendesha hiki kipikipiki.
Nalog off
 
Unapewa hadi nyumba??? kweli umeisuuza roho yake(????)by the way kubali ili umuone mume mwenzio.usilog off tafadhali usome comment zingine
Hapana kiongozi mimi sijawahi kumfanya lolote kwa kweli huyu jamaa ila nakiri ya kwamba nilikuwa nikimsaidia kwenye baadhi ya matatizo yake ya kimaisha.
Nalog off
 
Kataa kabisaaa!!! Ndo mwanzo wa wewe kuwa kipikipiki pia.MKUU HIYO NI NYUMBA CHAFU HATA KAMA ITAKUWA YA KISASA VP KATAA KABISA
Binafsi naona ni bora nifanye hivi ulivyoniambia ya kuachana na hii zawadi.
Nalog off
 
Mbona mimi nataka kukupa zawadi kubwa tu zaidi ya hiyo kwani umenifanyia nini kikubwa zaidi ya kusoma michngo yako hapa! bora huyo analipa fadhira alizosaidiwa kipindi chake kikiwa kigumu!
Nafikiri hiyo zawadi yako ataikubali.
Nalog off
 
Hata ingekuwa mika mia moja lazima tuifananishe na mind zako napengine hata muonekano wako, na nukuu sahihi ya watu8 "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
Kwani aliyesema maneno hayo ni nani na yeye anatumia avatar ya nani?
Nalog off
 
kudadadeki kumbe ndio mpango wake? baadhi hiyo nyumba sina shughuli nayo.
Nalog off
 
Mkuu tukiachia zawadi!
Usipende kuzoeana na wa.senge!
Au hujui kama unajipunguzia marks zako kwa wengine?????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…