He! Kumbe Kikwete Alimtapeli Lowassa?

Ni kweli kabisa. Wakati Lowasa akisimama mbele ya Bunge na kusema katuma barua ya kujiuzulu wala hiyo barua alikua hajaiandika rasmi. Alicho fanya JK ni "kuaccept" "barua" hiyo na baada ya hapo EL akawa hana chakufanya. Legally EL should still be prime minister kwa maana hakuna ushahidi hiyo barua ilishawahi kutumwa rasmi.
Come on people!
Lowassa was getting too big for his boots.
Lets admit it katika sakata la Richmond he was the fall guy, knowingly or unknowingly.
 
Ni kweli kabisa. Wakati Lowasa akisimama mbele ya Bunge na kusema katuma barua ya kujiuzulu wala hiyo barua alikua hajaiandika rasmi. Alicho fanya JK ni "kuaccept" "barua" hiyo na baada ya hapo EL akawa hana chakufanya. Legally EL should still be prime minister kwa maana hakuna ushahidi hiyo barua ilishawahi kutumwa rasmi.

Kwani maneno anayoongea PM akiwa bungeni si Official statement.????!!!!

Unataka kutuabia hapo bungeni majibu na maswali yanatolwa na mawaziri ni kupoteza muda tu na sio official?

Hata kama barua haipo sheria hiyo hiyo inasema kwa mdomo wake kaongea tena kwenye kikao officia cha bunge. Na yanayoggolew akwenye kikao cha bunge yote huwa yanawekwa kwenye maandishi. kwa hiyo ni Official

Kwa hiyo mkuu umeitazama sheria kwa kwa jicho moja. fungua macho yote
 
Back
Top Bottom