Daby Kaoge na maji ya bahari mwanangu
Kasie mapenzi uyo
Wewe ni mapenzi tu kila siku habari za kujenga nchi weee haaaah unamwachia magu na mwanahabar huru
Alafu unaniacha hoi kila siku lazima utuachie ki truck kimoja duuuh
Teh
Ninja huyu bibie alisema anaenda semina bwana.... sasa nashangaa nasoma hapa eti ameshepiwa.....
Danganya totoHhahahahahhaaaaa,
Ashaoga maji ya Kasie (fountain Katee ree...) yana chumvi asilia ..... haiifikii chumvi ya bahari... na Kasie ashakunywa supu ya motoo itokayo kilele cha mlima wa moto .... hehehehehee nikipanda huo mlima nachapwa bakora za hatari nikishuka hapo adabu na heshima zinanirejea.
Daby and Kasie are here to stay... of-course I love him (Daby)
Danganya toto
Wewe ruka-ruka weee ukichoka utatuliahahahahaaaaaaa kula kunde mbichiiiii
Hata maadiko yalisema, aaminiye ameshaokoka, asiye amini ameshahukumiwa..... nanzaje sasa kushawishi mtu aamini.....
Basi, acha ibaki hivohivo hadi mwisho wa dahari as long as I've done my part....
mzee baba lazima alipewa tunda...mlisindikizana usiku mnene hadi chumban , ? alafu mlitoka club, probably mlikunywa vileo! afu only kiss? what a joke....! all in all kasie napendA machapisho yako regardless ni story za kusadikika au la
Wewe ruka-ruka weee ukichoka utatulia
Ntatulia wapi? Kwa nani? Umesahau kama Kasie ni Mnyamwezi anayehimili mizigo mizito?
Heheheheheee wewe kama unasubiri nichoke na kutulia pole sana maana utasubiri mnooo hahahahaa, Kasie is a problem.