He is a Good men

He is a Good men

Buda hata hiyo "too" haifai? Alipaswa kutumia "so" ndio iwe "so boring." Akitumia "too" lazima iandamane na "to". Mfano, ",,,,too boring to,,,,,."

ungesoma kwanza sentensi iliyokosema na huyo mkuu ndio ungeelewa nilichoandika..

sio kila kwenye "too" lazima ifwate "to" kwamfano mtu akiniambia "I love you" nami nikamjibu "I love you too" wapi niweke "to"???

kwenye ile sentensi yote "too" na "so" ni sawa naama inabaki kuwa ileile.
 
Hii lugha huwa naimasta sana nikiwa juu ya stuli ndefu
ila asubuhi muda wa kuzimua huwa sikumbuki hata this is that

Hahaha haya leo wapi.nikupe miye biya tu ujipooze na yale machungu
 
Jamani muandike kwa kiswahili tu. Hamjui kwamba kidhungu kilikuja na majahazi. He is a good men... good try.

mmm wabongo bwana..
cc CUTE b mnafahamiana na huyu mtu?
 
Last edited by a moderator:
Nlivyoona neno MEN nlishtuka kdogo manake ujumbe n mzto xna. HONGERA XNA ILA EPUKA KU2MIA LUGHA UCOIFAHAM VYEMA
 
siku nyingine ukiona sentensi ya kwanza haikupi mwelekeko unasoma na ya pili, ya tatu na ya mwisho. Pamoja na mwandishi kukosea, muktadha wa kisarufi unatupa mwelekeo kuwa anamaanisha mwanaume mmoja "man" - kwanza kutokana na matumizi ya "article a" na matumizi ya viwakilishi "he na him" na maneno mengine kama "this guy" n.k

English is not our motherland.

Mwl. Nandera

Motherland aah!?
 
ungesoma kwanza sentensi iliyokosema na huyo mkuu ndio ungeelewa nilichoandika..

sio kila kwenye "too" lazima ifwate "to" kwamfano mtu akiniambia "I love you" nami nikamjibu "I love you too" wapi niweke "to"???

kwenye ile sentensi yote "too" na "so" ni sawa naama inabaki kuwa ileile.

swadakta
 
I Ihave Got a good men i wish angekuja hapa akasoma. Wanaume wazuri bado wapo kumbe wanaume waliotulia bado wapo kumbe, i thank God for this Guy i never thout i could fall in love again m not saying he is perfect in everything ,but deep inside my heart i know na iv told him that he is a gud Men he cares about me a lot and i ll accept everything because am happy na nina amani ya moyo ,n now i can think positive about mens.

He is so good to me to the fact that sometimes am crying just because am happy.I thank God for him even if He will be lying to me, i love this lie bacause it is abeautifull lie so i wont regret the time we v spent together with him.

Thank u God for bringing this guy to me i ve Got a good men for the first time in my life dah huu ujumbe nimetumiwa na rafiki angu mpk amesema hv it means he real Got a GoOD GUY shout out t:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41: all the Gud guys n Gud Dadies out there.

Masanja mkandamizaji aliwahi kusema "very good much" kwa kweli this is very good much yaani vizuri sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom