He!! Huyu ni mwanaume!!!!!!!!!!!!!!!!!-a.k.a transgender

Huku ni kumtafuta MUNGU maneno mwenyewe kajificha but tunaendelea kumchokoa
 
Eehhh kweli tumechoka kuishi kwa amani maana Mungu ametupa uhuru sie tunauchezea!
 
kwa bahati neno hutegemea dhana na dhana hapa ni kujibadilisha. Huwezi kubadilisha halafu ikawa kama ilivyokuwa zamani.
so unachokataa ni nini??? Kwamba definition si sawa ama...
 
Huku ni kumtafuta MUNGU maneno mwenyewe kajificha but tunaendelea kumchokoa

...mkuu Mungu wala hayupo mbali,anaona kita takataka na mema,the thing is,his grace surpus all our sins,ndo maana anatuvumilia wanadamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…