Hahahaha,basi toa wewe advice bwana mentor!
Hi wenyeji!
Most of the time bf wangu ndio anaset ground rules the relationship yetu,shida ni kwamba najikuta nazifata peke yangu. Nimeshacomplain countless times but habadiliki. Mfano tunaweza kukubaliana kuwa hakuna kucommunicate na wapenzi wa zamani, lakini yeye unakuta anaendelea. Naombeni ushauri wadau.
Hapo sasa, kaenda wapi tena?Ataipata wapi wakati yeye anawaza kuoa na kuzaa ndo malengo ya maisha yake yalipoishia!
I got a lonterm BF babu weee! Tunapendana sanaaa (Ofcourse sometimes tunapeana yellow card na nini)
Oh really! mnapendana sanaaaaa...mwenzetu wewe siku yako ina how many hours maana u have time for him, time kutafuta maisha plus time za kunywa pombe za watu...mhhhh!!!
Alafu ushawahi kujiuliza UKISHAOLEWA THEN WHAT?????????????
Mimi najiuliza NIKISHAOA, WHAT NEXT? And I have the answers..am glad to read urs
1. Nasoma na kujicertify , nakusanya experience to build my career ili by the time im 25 nifikie level flani za juu sanaaa za management! And failure is not an option!
R u employed? then consider it a failure. well unless u r 18 n working now!!!
3.Kuna vitu nilijipangia kuwafanyia wazazi wangu! Ndo nimeanza kutekeleza! Siwezi kuahirisha coz siwezi jua kama kesho watakuwepo! Im jst payin them back for their kindness! And make them feel special to me!
R u the only child at home? au wewe pekee ndo umefanikiwa kutoka? In any case, kudos..go on gal!
MAISHA SIO NDOA TU!!!!!!!!! Kama ulivoona hapo juu uchumi wa ndoa sina saivi! Wala uchumi wa kuzaa sina! Na siwezi kuharibu maisha yangu jst because!
After all for me QUALITY YA MAISHA BAADA YA NDOA INA MATTER ZAIDI KULIKO NDOA YENYEWE!!!!! Mambo ya kuolewa unaishi vibaya vibaya siyawezi naweza hata kusepa baada ya mwezi wa ndoa! No thanks!
Kama nilivokwambia kuhusu my Life Plan! Hata baada ya ndoa nina plan na expectations zangu niishi maisha gani na wanangu niwape maisha gani! Sasa mambo mazuri hayataki haraka!
Life is as unpredictable as today's Barcelona game! Just so you know, hutakaa ufikie the perfect level ya maisha unayoyataka ndo uolewe. (I am pretty sure ushakutanaga na ile poem ya mtu aliyengoja apate gari ndo aenjoy maisha..akangoja account iwe na 1 mil. $ ndo aoe..etc etc)
Again, ushasikia msemo wa "Every child comes with his own luck." Unaweza sema ni msemo tu though una ukweli ndani yake (refer life story ya Steve Jobbs)
Yet, kuna foundation fulani ya maisha ambayo ni vyema (and that is my stand too) uwe nayo before one commits themselves to another person.
Mimi na mwenzangu bado tunatafuta maisha! Hata tusipoona mimi na wanangu lazima tuishi vizuri! Period! Failure is not an option! Again.
But of course, at your age you need not worry abt being late! Umekuwa ukituhadaa sana na maneno yako such that you had us picture you as a thirty yr old lady...in our heads!!!
Ofcourse nikipata Bonge la Bwana linanikamilishia yote hayo tuoane fasta! Afu na mimi nimempenda! Naolewa tu mbonaaa! Ila vinginevo hapana!
Don't go for a ready made man..am sure u know this better! baki na huyo wa kwako wa sasa mnayetafuta naye maisha now..koz m sure u two discuss ur plans n wishes together.
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!
Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!
Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!
Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)
Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
In any case,
I am very glad I said that sentence. Earlier on I thought ingeleta ubishi but u were very wise in answering!
Mob love to u lara 1..u have opened my eyes more of who u really r!!!
Cc: Brainy Chick
MSHEEEEEEEEEEW!!!!!!!! Usilo lijua litakusumbua sanaaaa! SO SHORT MINDED! And thinkin you are a man makes me wanna puke!
Kazi kuona vikwazo na ipossibility! So negative! Damn! Loosen up! Be positive for a change!
Turudi kwenye mada!
Kuhusu muda well Mchaga kaenda nje kusoma short course so i have all the time ya kulipa kisasi nitakavyo!
YES Im employed and im studying Excutive Mode! N for ur info Masters ni 2Yrs tu, na within hizo 2YRS lazima niwe certified. SO HAIWEZEKANI KWA WATU KAMA WEWE MLIOCHELEWA SHULE! Sisi wengine hatukamatiki!
Well i aint the only child na kaka yangu katoka zaidi yangu mara 1000! Ila hanizuii kuongezea na kufanya wajibu wangu! Mi sio kisa hawaniombi basi sitoi! No way! Mimi mtu wa watu! Nikipata I rain on every body hadi beki 3.
Sina choyo!
Wewe ndo hutokaa ufikie! Sababu huna mipango na mikakati! Mwenzio hili plan since i was 16, na linaenda according to plan! Kama nilivokwambia failure is not an option to me! Shule nimemaliza according to plana na kuunga according to plan kwa scholarship tena! Watu wengi sana walinibeza but as we go they learn to respect me! Pia nawa inspire kama inawezekana ukiamua!
Plus hayo mambo ya kuzaa zaa kutegemea kudra MDA HUO SINA! Hapa nipo kwenye Mission Impossible! Sasa sitaki kujiongezea impossibilities! Mtoto sio kitu unaamka na kurevoke uamuzi au kuget rid of! Na kumleta mtoto hujajipanga ni kumtesa! MY OVARIES ARE TOO PRECIOUS!!!!!!!!!!!
Kuhusu Bonge la Bwana likitokea mimi nimo! I love the challange! I dont take guarantee in men! NAJIPANGA KUSIMAMA MIMI KAMA MIMI! So Mchaga akiwepo in my future poa! Akighairi pia poa!
Ila I WILL NEVER SACRIFICE MY DREAMS TO KEEP A MAN!!!!!!!!!! NEVER LIKE NEVERRRRRRRRRR!!!!!!!!!!!
Naona leo umepata hamu ya kujua my personal life, anything else you wanna know????????/
Wako KUBWA LA MAADUI!!!!!!!!!
i think you are still a Brainy chick as your ID specifyHi wenyeji!
Most of the time bf wangu ndio anaset ground rules the relationship yetu,shida ni kwamba najikuta nazifata peke yangu. Nimeshacomplain countless times but habadiliki. Mfano tunaweza kukubaliana kuwa hakuna kucommunicate na wapenzi wa zamani, lakini yeye unakuta anaendelea. Naombeni ushauri wadau.
dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishemejiiiiiiiii
Umesomeka...In any case,
I am very glad I said that sentence. Earlier on I thought ingeleta ubishi but u were very wise in answering!
Mob love to u lara 1..u have opened my eyes to learn more of who u really r!!!
Cc: Brainy Chick
dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Is that meant to be sarcasm??Kama huna something positive to contribute ungepotezea tu.
MSHEEEEEEEEEEW!!!!!!!! Usilo lijua litakusumbua sanaaaa! SO SHORT MINDED! And thinkin you are a man makes me wanna puke!
Hahah..sa umenifyonza ili iweje! ama ts jus in u..haya bana...i jus never expected that!
Kazi kuona vikwazo na impossibility! So negative! Damn! Loosen up! Be positive for a change!
if you think so...
Turudi kwenye mada!
Kuhusu muda well Mchaga kaenda nje kusoma short course so i have all the time ya kulipa kisasi nitakavyo!
:tape2:
YES Im employed and im studying Excutive Mode! N for ur info Masters ni 2Yrs tu, na within hizo 2YRS lazima niwe certified. SO HAIWEZEKANI KWA WATU KAMA WEWE MLIOCHELEWA SHULE! Sisi wengine hatukamatiki!
I pity you staff..hiyo utakayokuwa unaiongoza! with such an attitude.
Well i aint the only child na kaka yangu katoka zaidi yangu mara 1000! Ila hanizuii kuongezea na kufanya wajibu wangu! Mi sio kisa hawaniombi basi sitoi! No way! Mimi mtu wa watu! Nikipata I rain on every body hadi beki 3.
Sina choyo!
Naam..hii ni tabia njema..n I commended you for it earlier!
Wewe ndo hutokaa ufikie! Sababu huna mipango na mikakati! Mwenzio hili plan since i was 16, na linaenda according to plan! Kama nilivokwambia failure is not an option to me! Shule nimemaliza according to plana na kuunga according to plan kwa scholarship tena! Watu wengi sana walinibeza but as we go they learn to respect me! Pia nawa inspire kama inawezekana ukiamua!
Please, share with us the inspiration...I am interested.
"How I got to where I am" by @lara 1
Plus hayo mambo ya kuzaa zaa kutegemea kudra MDA HUO SINA! Hapa nipo kwenye Mission Impossible! Sasa sitaki kujiongezea impossibilities! Mtoto sio kitu unaamka na kurevoke uamuzi au kuget rid of! Na kumleta mtoto hujajipanga ni kumtesa! MY OVARIES ARE TOO PRECIOUS!!!!!!!!!!!
U got me wrong..and ni kwa sababu unanisoma kwa jicho la critic! I wrote my comments in plain good intentions...no arguments!!
Kuhusu Bonge la Bwana likitokea mimi nimo! I love the challange! I dont take guarantee in men! NAJIPANGA KUSIMAMA MIMI KAMA MIMI! So Mchaga akiwepo in my future poa! Akighairi pia poa!
Ila I WILL NEVER SACRIFICE MY DREAMS TO KEEP A MAN!!!!!!!!!! NEVER LIKE NEVERRRRRRRRRR!!!!!!!!!!!
Naona leo umepata hamu ya kujua my personal life, anything else you wanna know????????
Yes, your inspiring story! nimechoka na za visasi..coz they don't relate to me in any way...thanks in advance
Wako KUBWA LA MAADUI!!!!!!!!!
dalaliiiiiiiiii umeamua kunizngua jumla jumla?
Wako Mentor!!!:yo:
kweli nimjue mtu anaiba mume wangu wala siitaji msaidizi,sio kuiba hata anajitongozesha tu,hata kumvizia hahahaahahahaha hata kumtumia sms ya mapenzi hata kama alikosea aiseeee.face to face utaiona dunia chungu kuliko shubiri ,sababu sichekagi na mwanamke mara 2.Bi dada bwana aliolewa sasa kama ujuavyo Mumewe akapata kimada HR wa kampuni flani kubwaa tu ana Masters kama mia! Shosti wangu form 6! Basi mumewe ikawa kama kajiweka kwa huyu HR coz si unajua tena wasomi anampa idea za biashara na nini na fake class aliyonanyo HR, wanaisha kama ulaya kwenda kudine sehemu za maana, kuhangout kwenye golf na nini! Mumewe kujiona kakosea kumuoa shosti hana exposure! Mshamba! Sasa shosti had no shot at all!
Mumewe harudi nyumbani, akirudi sms hafuti, ikawa sio siri tena, mara anaenda na mtoto kwa Hr anamwambia huyu mamdogo! She was so frustrated, endesha kesi za kifamilia na wewe! Mwanaume sugu! Akaja kuniambia ananijulisha tu sh is dating again ndoa imeshindikana! Ndo akaniambia! Nikamwambia njia iko mbona ya kusambaratisha hilo swala! Its not gonna be easy but its possible! Je uko tayari kwa vita!? Saivi we attack from HR'S side, we mumeo usimuulize chochote
Akajifanya aah! Mi ugomvi sipendi, wala siwezi, nikamwambia kojoa ulale! Na mumeo ataoa siku si nyingi! We si ndo umechokozwa? Mgomvi yule kule we una retaliate tu! Akasema yuko tayari kwa vita!
Stage 1. Kaenda ofisini kwa yule dada na mtoto analia watu wote wanamshangaa anaomba kumuona HR Manager! Kwikwi! Vilio! Kabeba na mtoto anamfinya wanalia wote! Mbona lilikuwa Tukaio! Watu wanamjali reception mama unalia nini? Flani mtu mbaya sanaaaa! Kanichukulia mume wangu! Nateseka! Hihihihiiiiiiiiii! Mi sina kazi! Waaaaaaaaaaaaaaaaa! SI unajua umbea wa ofisini watu wanaitana kumekucha huku usipitwe! HRM akaja kumuingiza ofisini! Kilio tu! Akamwambia atamkanya yeye aende nyumbani! Yule dada alikoma watu wanakonyezana tu! Ofisi aliona chungu!
Stage 2. Tukamvisia baada ya tukio akawa anakimbia soo ofisini anampigia simu mzinzi mwenzie analia akaenda kukaa resturant flani jirani amngoje aje! Tukamfata na kuanza kuanza kumchamba! Alikaa sakafuni na kuweka mikono kichwani! Tukamtishia tutammwagia maji ya moto usoni tuone nani atamtongoza! Au wahuni wambake na kumtupa kwenye mtaro. Tukamwambia programu ya kuachiwa Mume haipo ni vita tu! She should Pack Well oooooooh! Its not gonna be an easy ride! Tukamwambi ndo maisha yake ya kila siku yatakuwa hivi! Sisi hatujasoma wala Class hatuna hata ya kupakaziwa! Ni vita tu! Tukamwambia kama umeona tukio tuliokufanyia la kuja ofisini sasa ndo ujue hatutishiii ni vitendo tu! Next time tunakufata kanisani, kwenye sherehe! Maisha yako yatakuwa hivi hivi. Ndo ujiulize is it worth it!
Basi kesho yule dada akatuma text, anaomba msamaha yaishe, yeye mumewe hamtaki tena! Alikomaaaa! Mumewe baada ya kuuchwa kule akaanza kujirudisha kimya kimya! Saa kumi yupo ndani! Mara amununulie mkewe gari, kujikosha tu baada ya kufanya madudu! Mpaka leo ndoa ipo! Na wameongeza mtoto mwngine!. Bila kufanya u alshabab mbona angeporwa mume! Chezeya!
Mentor anatafuta wakuoa nakutumia alivyonavyo na hajapata so he is trying his bestMentor! Mentor!
When will you learn that my attitude or life has nothin to do with you! Everbody for himself, God for us all! Knowing that, i didn't ask anythin abt you! Because It doesnt matter!