Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,270
- 72,466
sawaMimi ndio nakwambia mkuu
sawaMimi ndio nakwambia mkuu
Sijakuelewa mkuu hiyo lugha uliyotumiaIna kazi gani,mbona being huu hiyo?
Typo,Sijakuelewa mkuu hiyo lugha uliyotumia
Mkuu hii cable inatumika kuuanganisha laptop yako au desktop na TV yako yaani unaifanya TV yako kuwa monitor ambayo inadisplay katika high definitionIna kazi gani,mbona being huu hiyo?
Dukani inauzwaje?Mkuu hii cable inatumika kuuanganisha laptop yako au desktop na TV yako yaani unaifanya TV yako kuwa monitor ambayo inadisplay katika high definition
Dukani yenye urefu wa mita 1 inauzwa Kati ya 10,000 hadi 15,000Dukani inauzwaje?
Sawa,basi jamaa bei yake nzuriDukani yenye urefu wa mita 1 inauzwa Kati ya 10,000 hadi 15,000
Yeah bei yake iko poa, nafikiri anaiuza hivyo kwa sababu ni usedSawa,basi jamaa bei yake nzuri
Ok mkuu, ni waya unaotumika kudisplay High Definition picture kutoka katika vifaa mbalimbali kama laptop na TvTypo,
Matumizi yake nini hiyo HDMI,
Sijapataga mda wa kufuatilia kwakweli