Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Wapi nitapata hiyo cabble na kwa bei gani
Kama upo Dar nenda KDV ipo karibu na Bilicanas au inatazamana na kituo cha Mafuta PUMA kilichopo nyuma ya extelecom house. Bei niliulizia wanauza Tshs 25,000/=, na ina urefu wa 1.5m
Kwa anayejuwa anayejuwa maduka ya kariakoo, atakuwa ameshanielewa... Kwa mfano kuna circuit breaker za ABB ukienda pale kwa Elecsol, bei zake na ubora (geniune ABB) ni tofauti na za kariakoo... AU anayejuwa earth rod, akaone zile za 4,000/= na za 55,000/= ndo atanielewa... Hivi hujawahi kwenda dukani ukaambiwa hiki hapa bei hii lakini ukitaka hiki bei hii... the same kwa HDMI cablendugu mbona hii kitu kariakoo kwenye maduka ya computers bei chee tu sh 5000 aisee... na dimension hiyo hiyo 1.5m aisee
Mkuu mbona zinapatikana karibu kila duka linalouza vifaa vya eletronics.
Na bei zake ni za chini kabisa kuanzia Tsh. 3,500 na kuendelea kulingana na eneo duka lilipo, we mwenyewe ulivyo na mood ya muuzaji.
Kama upo Dar nenda KDV ipo karibu na Bilicanas au inatazamana na kituo cha Mafuta PUMA kilichopo nyuma ya extelecom house. Bei niliulizia wanauza Tshs 25,000/=, na ina urefu wa 1.5m
Wapi nitapata hiyo cabble na kwa bei gani
Sijakuelewa, badili lugha uniandikie eidha kwa kiingereza, kiswahili, kingoni au kimandaKVD Waanhe braa
Kariakoo maduka ya computer inauzwa kama buku 5 hivi na urefu ni 1.5m.
Sijakuelewa, badili lugha uniandikie eidha kwa kiingereza, kiswahili, kingoni au kimanda
Kwa anayejuwa anayejuwa maduka ya kariakoo, atakuwa ameshanielewa... Kwa mfano kuna circuit breaker za ABB ukienda pale kwa Elecsol, bei zake na ubora (geniune ABB) ni tofauti na za kariakoo... AU anayejuwa earth rod, akaone zile za 4,000/= na za 55,000/= ndo atanielewa... Hivi hujawahi kwenda dukani ukaambiwa hiki hapa bei hii lakini ukitaka hiki bei hii... the same kwa HDMI cable