Wanyamtura
Member
- Jan 23, 2012
- 23
- 1
Wakuu habari za muda huu tena,
Naombeni msaada wadau,
Nina external ya 1TB nime weka data, ila toka week iliyopita nikifungua data hazionekani, nikicheck ukubwa yani disk space used ni 458 MB, na nikscan virus kwa kaspersky 2012 naona inascan folder hambazo hazionekani. Naomba msaada nifanyaje niweze pata data hizo.