Hazina za Mjerumani zinazopatikana nchini

Hazina za Mjerumani zinazopatikana nchini

mtikando yakijito

New Member
Joined
Mar 30, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu,

Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu.

Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza, lakini inarepotiwa kuwa wageni wazungu kwa nyakati tofauti wamekuwa wakija na kuchukua hizo hazina na kusepa nazo wengi wakifeli.

Nilishawahii kuweka mjadala huu kwenye social media moja hivi niliona commment ya mtu moja akisema kupata hazina zilizofichwa unahijaji usomee, akaenda mbali kataja nchi ya Israel kwa wanatoa hiyo elimu, swali ni course inatoa hiyo elimu? Na vipi elimu hii ni elimu ya kawaida au kishirikina?
 
Back
Top Bottom