AmenBWANA ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu....
Asante... mkuu¡Hazina inayowekwa mbinguni sio ya dhahabu, pesa au chochote cha thamani. Ni upendo, ukarimu, misaada kwa wahitaji na wenye shida mbalimbali. Matendo mema yaambatane nawe, ucha Mungu na yoteeee yanayofanana na hayo yanayompendeza Mungu. Toa hayo kwa wengine.
Yaleyale ya Petro kumkana YesuNimeiona.... mkuu, halafu mimi sio mlokole....
Hayo yote yatafanyika mbinguni sio duniani..duniani ni unyamera tuHazina inayowekwa mbinguni sio ya dhahabu, pesa au chochote cha thamani. Ni upendo, ukarimu, misaada kwa wahitaji na wenye shida mbalimbali. Matendo mema yaambatane nawe, ucha Mungu na yoteeee yanayofanana na hayo yanayompendeza Mungu. Toa hayo kwa wengine.
niko hapa kwa mwamposa nikitafuta walikoweka kapu la sadaka ninyofoe hata laki ya konyag lakn silion.Mkuu kwani umeshapiga konyagi.....?