Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wewe na huyo mnaeenda kupima naye hechiaivii hamkunielewa ujue.Fixed Point ka vipi saga chupa changanya na dawa ya panya kisha viringisha kwenye salfa mikorosho kunywa.
inabidi atwae tuzo ya uvumilivu..maana Bishanga mara Zahra White,mara Mrs Bishanga,sasa hivi wewe,si ajabu kafungiwa ndani haoni..ama kweli mapenzi ni upofu
wewe na huyo mnaeenda kupima naye hechiaivii hamkunielewa ujue.
hayo maneno nilikuwa namsemea yeye alipokuomba usimwite mtu mwingine love isipokuwa yeye tu.
mimi niwaonee wivu wa nini Bishanga? unafikiri nikitaka kukukamata nitashindwa?
ha haaa, PM kuna nini huko Bishanga?soooory dear Fixed Point,naomba tusogee mtaa wa PM
Bishanga yamekua hayo aise wakati mi huwa nakutetea sana
copy: Mrs Bishanga
naanza na wewe kwanza.
Positive wewe.
The secretary yuko wapi?
hawa wakaa juu ya paa hawanipi hofusawa..nimekuelewa mama
twangoja harusiii:dance:
What is this for?
ndo mke mwenza kaja unalo!
ulikuwa na Madame B?
Lols, you are always an interrupter