Yaani we acha tu, huyu Mzee damu yake itawalilia wengi tu. Amini nikuambiayo, haipiti maika kumi wale wote waliomkejeli watakuwa wako Rumande.
Adhabu ni hapa hapa duniani!
Mobutu alimwondoa Patrice Lumumba, akala anasa, lakini kafia kijijini huko Morocco.......
Idd Amini, kafia Utumwani Arabuni.....
Mungu yuko nasi, subiri tu, ni swla la Muda!