hayati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hayati

Discussion in 'Jamii Photos' started by Azikiwe, Dec 29, 2010.

 1. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hivi mkwere anajua hata kuendesha hiyo kitu?
   
 3. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Imenikumbusha kile kiwanda chetu cha "Swala", hivi kilifia wapi?:redfaces:
   
 4. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  ajulie wapi naye ananuka mihela mwili mzima
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  uuuuuuuuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Werawera
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  kwa maono yako kujua kuendesha hiyo kitu ndo kigezo cha ubora?!
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu mi nimeuliza tu we unakuja na hadithi zako,mbona unataka kuushawishi umma kuwa mawazo yako ndio yangu?
   
 9. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Yaani we acha tu, huyu Mzee damu yake itawalilia wengi tu. Amini nikuambiayo, haipiti maika kumi wale wote waliomkejeli watakuwa wako Rumande.
  Adhabu ni hapa hapa duniani!
  Mobutu alimwondoa Patrice Lumumba, akala anasa, lakini kafia kijijini huko Morocco.......
  Idd Amini, kafia Utumwani Arabuni.....
  Mungu yuko nasi, subiri tu, ni swla la Muda!
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtu wa watu hakuna mfano MIMI PICHA INANIKUMBUSHA UZALENDO! JE UZALENDO LEO UPO WAPI???
   
 11. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kumbukumbu nzuri sana
   
 12. N

  NINAHASIRA Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuombe mungu tu kwa ajili ya nchi hii
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Baba wa watu alikuwa physically fit kumbe alikuwa anaendeshaga na baiskeli apart from kilimo kujiweka fit. Kama sio ile kansa ya kupandikizwa na mafisadi ili wamuondoe ungekuta hadi leo mzee wetu anadunda. RIP Nyerere, tanzania imeoza kuliko jehanamu.
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Inanikumbusha mbali sana,laiti angekuwepo mambo yasingekuwa kama ilivyo sasa.RIP MWL J K NYERERE
   
 15. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  tukiacha mambo ya siasa huyu mzee ndo aliyeleta mapinduzi ya wajanja wa mjini kujivunia kuzaliwa mjini....aliingia dar kama mgeni toka butiama nyota ikawaka wakali wa enzi hizo kina sykes wakaenda kama makiza....julius ni mkare!
   
 16. KATIZAJI

  KATIZAJI Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sio tu kiwanda cha 'swala', uliza kiwanda cha magari 'nyumbu', karakana ya kuchonga vipuri vya kila aina iliyoko mang'ula, zana za kilimo (zzk) mbeya[kilimo kwanza hapa vipi?!!!!], mashamba ya nafco, tanganyika parkers, mashamba ya katani, n.k.

   
 17. k

  khalfan New Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unataka sema ukinuka hela ndio hujui baiskeli acha hizo
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna kiwanda alichoanzisha au alichotaifisha Nyerere kiko hai mpaka leo bila kuwa na mwekezaji binafsi ama wa nje ama wa ndani?
   
 19. Sambah

  Sambah Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Weka nyingine yaani ? umenigusa mbaya. wa sasa hawezi wana hofu watu wamekunja sura . unaweza kuingia ndani ya zoo ,......ukamkamata simba mkia hata angeweza natoa ofa nikimwona tu ! tz itakuwa yetu si unajua mwenye tz anakamilisha mkataba au umesahau?
   
Loading...