Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 314
- 546
Ndio nashangaa CCM kutuwekea shida zetu na mataahira ya CDM.Huo ni ukweli mwingine mchungu.
Badilisha avatar kwanza hili ule dose yangu.Yote yanayoendelea yalianzana na yeye, acheni kujizima data hata kama mlimpenda
1. Kuua upinzani
2. Kuminya uhuru wa vyombo vya habari
3. Uchawa
4. Kuua anaotofautiana nao
5. Kusitisha ajira
Hayo mazuri yake mnayoyaona hivi sasa hayana maana tena sababu mabaya aliyoanzisha mrithi wake ameenda mbali zaidi na kuvuruga nchi kabisa.
Kakojoe ulale... ila ukweli haubadiliki kwa wewe kumpenda sana huyo muanzilishi wa uharibifu.Badilisha avatar kwanza hili ule dose yangu.
Sina tabia ya kutwanga watoto wa kike.
Wacha nibaki na maumivu ya ujinga ulioandika.
Ignored from thereonKakojoe ulale... ila ukweli haubadiliki kwa wewe kumpenda sana huyo muanzilishi wa uharibifu.
Na historia imeandikwa yeye alianza, warithi wake ni wabaya zaidi na wanaenda mbali sanaaaaa ambako yeye hata hakuwahi waza.
Rasmi sasa adui mkubwa Tanzania ni ujinga,umaskini,maradhi na ccmKwangu mimi naona ccm wote ni takataka tu. Siku zote wananchi tunatakiwa kutambua ya kuwa adui yetu ni ccm! ccm ndiyo chanzo cha matatizo yote nchini.