Wache wafe kwani kifo ni haki ya kila mtu huwezi zuia kifo, wamekufa wenye corona na ndo maana haipo tz na kama ipo watakufa wenye nayo hata kama ni wew au mimi nasema tutakufaaaaKwani Tanzania hawajapukutika?
Unajua maana ya nabii wewe?Bila shaka tuzidi kusali hakika Mungu anaponya , nabii wetkatangulia ila tupo swalama.
Utaanza wewe ili nikuzikeWache wafe kwani kifo ni haki ya kila mtu huwezi zuia kifo, wamekufa wenye corona na ndo maana haipo tz na kama ipo watakufa wenye nayo hata kama ni wew au mimi nasema tutakufaaaa
you are suffering from stupidity arising from ignorance of science. Hakuna dawa haina side effects, issue ni kiwago gani cha side effects......Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .
Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.
Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.
"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."
Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.
Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.
Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
Wangekuwa wangapi Kwa kiwango chako mkuuJ & J imeleta madhara kwa watu wawili, mmoja amefariki na mwingine yupo mahututi... Mbona unautisha umma
Kwani wamepukutishwa na chanjo ?Kwani Tanzania hawajapukutika?
Hili nalo ni kweli piaAlisikika Mwenyekiti Mmoja akisema nimepata Chanjo ya Astra Zeneca kama sifa kubwa kwake kutaja neno Astra Zeneca.Kuganda kwa damu nafikiri COVID 19 VACCINES zinasabaisha chembe hai za damu zinazojulikana kwa jina la Kisukuma Platelets/Thrombocytes kushindwa kufanya kazi yake barabara tuendelee kumtegemea Mungu ili wataalamu wetu wawe Waafrica ama Wazungu waweze kuondoa kasoro hii,Pia wataalamu tuliomo humu JF tuendelee kuumiza vichwa juu ya chanjo hii ili itoe matokeo mazuri,tusijikite kuwasifia akina Lissu,Mbowe na wengine wengi tu maana hatutafikia malengo mazuri kwa mustakabali wa Nchi yetu TANZANIA.
Wewe no ngosha, uganga ni asili yakoLazima wapukutike utafiti wa chanjo ulifanywa kwa wanyama inakuwaje adungwe binadamu!? Mimi staki kudungwa nachanjo yawanyama ntakufa namitishamba yetu.