Hayati Magufuli alikuwa nani hasa? Mbona kila kundi linamlilia

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Wafanya biashara wanamlilia JPM, wakulima wanamlilia JPM, madereva wanamlilia JPM, Watanzania wanyonge wanamlilia JPM. Kwa ujumla hakuna kundi lisilomkumbuka.

Nenda hospitali zote uwaulize watu jinsi huduma zilivyo za ovyo. Wote hao wanamlilia JPM.

Mimi najiuliza, kwa nini JPM anazidi kuwa na nguvu hata kama hayupo Duniani?
 
Tupe idadi na majina yao, isijekuwa ni wewe na genge lako lililokuwa likivizia kudhulumu magari, viwanja na fedha kwa msaada wa Bashite

Kigwangala kamnanga Bashite kumiliki nyumba masaki yenye thamani ya dola milioni 6, karibu bilioni 15.
Na huyu ni moja ya majitu aliyoyalea JPM, majizi, halafu unakuja hapa unakenua eti watu wanamlilia
 
Picha tafadhar ikionyesha wakimlilia
kapicha haka hapa👇

images.jpeg
 
Tupe idadi na majina yao, isijekuwa ni wewe na genge lako lililokuwa likivizia kudhulumu magari, viwanja na fedha kwa msaada wa Bashite

Kigwangala kamnanga Bashite kumiliki nyumba masaki yenye thamani ya dola milioni 6, karibu bilioni 15.
Na huyu ni moja ya majitu aliyoyalea JPM, majizi, halafu unakuja hapa unakenua eti watu wanamlilia
Ona ulivyo kajinga Sasa.

Unakaa kabisa unaandika "Tupe idadi na majina Yao".
 
Wafanya biashara wanamlilia JPM, wakulima wanamlilia JPM, madereva wanamlilia JPM, Watanzania wanyonge wanamlilia JPM. Kwa ujumla hakuna kundi lisilomkumbuka
Nenda hospitali zote uwaulize watu jinsi huduma zilivyo za ovyo. Wote hao wanamlilia JPM.

Mimi najiuliza, kwa nini JPM anazidi kuwa na nguvu hata kama hayupo Duniani?
CHUMAJPM!!
 
Bro, JPM aliutendea haki Urais,alikuwa na akili,uthubutu,msimamo,mtatuzi wa kero haraka lakini kubwa zaidi alikuwa hataki mchezo(no nosense Man) Tanzania ilipoteza Rais Bora wa muda wote kwa wakat huu wa kujenga uchumi imara na kujitegemea. Tumerudi nyuma mno,tumerudi utumwani,tumerudi tulikotoka. Mungu shughulikia haya matapeli ya Sasa
 
Wafanya biashara wanamlilia JPM, wakulima wanamlilia JPM, madereva wanamlilia JPM, Watanzania wanyonge wanamlilia JPM. Kwa ujumla hakuna kundi lisilomkumbuka.

Nenda hospitali zote uwaulize watu jinsi huduma zilivyo za ovyo. Wote hao wanamlilia JPM.

Mimi najiuliza, kwa nini JPM anazidi kuwa na nguvu hata kama hayupo Duniani?
Watakujia watu wa vyeti feki wanatumia kivuli cha chawa wa mama wataleta blah blah nyingi hapa lakini ukweli utabaki tulipoteza raisi hatutopata mwingine miaka ya karibuni!
 
Wafanya biashara wanamlilia JPM, wakulima wanamlilia JPM, madereva wanamlilia JPM, Watanzania wanyonge wanamlilia JPM. Kwa ujumla hakuna kundi lisilomkumbuka.

Nenda hospitali zote uwaulize watu jinsi huduma zilivyo za ovyo. Wote hao wanamlilia JPM.

Mimi najiuliza, kwa nini JPM anazidi kuwa na nguvu hata kama hayupo Duniani?
Kuna watu walitabiri eti JPM baada tu ya miezi 7 kupita baada ya kifo chake hatatatajwa popote

Matokeo yake jina lake ndilo linsongozwa kutajwa na kuandikwa
 
Tupe idadi na majina yao, isijekuwa ni wewe na genge lako lililokuwa likivizia kudhulumu magari, viwanja na fedha kwa msaada wa Bashite

Kigwangala kamnanga Bashite kumiliki nyumba masaki yenye thamani ya dola milioni 6, karibu bilioni 15.
Na huyu ni moja ya majitu aliyoyalea JPM, majizi, halafu unakuja hapa unakenua eti watu wanamlilia

Mwizi mmoja wewe unaemiliki vyet fake, mla rushwa mmoja unaekenua mijino ya njano, kapige mswaki Kizimakazi mmoja wewe
 
Kama sahz sukari kufika 4,000 na Waziri wa biashara yupo hakuna tamko lolote,
Jpm tutamkumbuka Sana.
 
Bro, JPM aliutendea haki Urais,alikuwa na akili,uthubutu,msimamo,mtatuzi wa kero haraka lakini kubwa zaidi alikuwa hataki mchezo(no nosense Man) Tanzania ilipoteza Rais Bora wa muda wote kwa wakat huu wa kujenga uchumi imara na kujitegemea. Tumerudi nyuma mno,tumerudi utumwani,tumerudi tulikotoka. Mungu shughulikia haya matapeli ya Sasa
Sahizi michwa yote imerudi kama kawa, sehemu zote inabungujua
 
Back
Top Bottom