Hata kuangusha nchi kwenye korongo huko ni mabadiliko.Uzuri wa dikteta huwa watu wote wanaumia, kwa hiyo ataharakisha mabadiliko
Kama unaona ndiyo hivyo na Hataki basi unaweza kuhama nchi uko huru.Ila nchi haitawaliwi kiditekta demokrasia imetawala kila sehemu.
Tungekuwa na dikitekta basi watu kama Tundu Lissu na Godbless Lema tungesha wasahau!!
Natamani sana wabunge wale walio member wa JF wawaonyeshe wabunge wa CCM thread hii na hasa hii post ya mkuu BAK wajitambue kidogo.Ahsante sana Mkuu kuiweka hii hapa. Niliiyona mahali FB lakini nikajua nikiiweka hapa kutoka FB wengi watalalama kwamba haifunguki. Ni maneno ya Baba wa Taifa haya sasa yametimia. Wabunge wa MACCM wamekuwa waoga kupindikukia wanamuogopa dikteta uchwara kwa kuwa kawatishia atawafukuza chamani hivyo kupoteza ubunge wao. Watendaji Serikali ukimuondoa CAG wamejawa na hofu kubwa kwa huyu dikteta uchwara. Utaalamu wao na akili zao wameziweka pembeni ili kumwambia yale ayatakayo kuyasikia. Angalia Nape kwa kusimamia sheria za nchi akafukuzwa kazi lakini mhuni na jambazi Bashite hajaguswa. Yule aliyekuwa msajili wa hazina Lawrence Mafuru kwa kusema ukweli kwamba si makosa taasisi za Serikali kufungua fixed deposit na pia hakuna mfanyakazi Serikalini mwenye mshahara wa milioni 40 kama tulivyotaka kuaminishwa naye akachezea panga la kutumbuliwa lakini mhuni na jambazi Bashite hajaguswa.
Watendaji wa Serikalini wamejawa na hofu kuu kuhusu kuhoji huu ukingiwaji wa kifua wa huyu mhuni pamoja na kuidanganya Serikali kuhusi jina lake la ukweli, kufoji vyeti na pia kuvamia Clouds. Angakua kashfa ya Lugumi na nyinginezo jinsi zinavyopotezewa au katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Inakuwaje ncchi yenye watu zaidi ya milioni 50 mtu mmoja atoe kauli kwamba katiba mpya si kipaumbele changu?
Nashukuru sana Mkuu hii video utadhani Mwalimu alijua nini kitakachojiri nchini mwetu miaka ya usoni.
Natamani sana wabunge wale walio member wa JF wawaonyeshe wabunge wa CCM thread hii na hasa hii post ya mkuu BAK wajitambue kidogo.
Ukweli ni kuwa tumefikia kiwango cha juu cha kuwadharau, kinachofuata baada ya muda mfupi ni kuwahamasisha vijana wawasalimie kwa kuwazomea mitaani
Uzuri wa dikteta huwa watu wote wanaumia, kwa hiyo ataharakisha mabadiliko
wewe ni mganga njaa sio bure weweAhsante sana Mkuu kuiweka hii hapa. Niliiyona mahali FB lakini nikajua nikiiweka hapa kutoka FB wengi watalalama kwamba haifunguki. Ni maneno ya Baba wa Taifa haya sasa yametimia. Wabunge wa MACCM wamekuwa waoga kupindikukia wanamuogopa dikteta uchwara kwa kuwa kawatishia atawafukuza chamani hivyo kupoteza ubunge wao. Watendaji Serikali ukimuondoa CAG wamejawa na hofu kubwa kwa huyu dikteta uchwara. Utaalamu wao na akili zao wameziweka pembeni ili kumwambia yale ayatakayo kuyasikia. Angalia Nape kwa kusimamia sheria za nchi akafukuzwa kazi lakini mhuni na jambazi Bashite hajaguswa. Yule aliyekuwa msajili wa hazina Lawrence Mafuru kwa kusema ukweli kwamba si makosa taasisi za Serikali kufungua fixed deposit na pia hakuna mfanyakazi Serikalini mwenye mshahara wa milioni 40 kama tulivyotaka kuaminishwa naye akachezea panga la kutumbuliwa lakini mhuni na jambazi Bashite hajaguswa.
Watendaji wa Serikalini wamejawa na hofu kuu kuhusu kuhoji huu ukingiwaji wa kifua wa huyu mhuni pamoja na kuidanganya Serikali kuhusi jina lake la ukweli, kufoji vyeti na pia kuvamia Clouds. Angakua kashfa ya Lugumi na nyinginezo jinsi zinavyopotezewa au katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Inakuwaje ncchi yenye watu zaidi ya milioni 50 mtu mmoja atoe kauli kwamba katiba mpya si kipaumbele changu?
Nashukuru sana Mkuu hii video utadhani Mwalimu alijua nini kitakachojiri nchini mwetu miaka ya usoni.
wewe ni mganga njaa sio bure wewe
inawezekana wakawa waganga njaaKwa akili yako ya KIZUZU ndiyo utadhani hivyo. Hata Mwalimu ambaye ni muasisi wa TANU na CCM baada ya kustaafu aliisemea hovyo Serikali na CCM, Warioba, Mwinyi, Butiku, Kinana na wengi wengine ndani ya CCM wameisemea hovyo Serikali na utendaji wake mbovu. Wote hawa kwa akili yako ya KIZUZU ni waganga njaa si bure!
Anza kuhama wewe kwanza kama unaona suala la kuhama ndiyo kipaumbele chakoKama unaona ndiyo hivyo na Hataki basi unaweza kuhama nchi uko huru.Ila nchi haitawaliwi kiditekta demokrasia imetawala kila sehemu.
Tungekuwa na dikitekta basi watu kama Tundu Lissu na Godbless Lema tungesha wasahau!!