Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Eee MUNGU natamka na ninaisoma msg hii kimoyomoyo nawe MUNGU ukiwa shahidi kwamba kuanzia (leo)siko CCM,tena Sitorudi CCM wala kuipigia KURA na endapo nitaipigia basi MUNGU hapo ktk chumba cha kupigia kura ama popote uchukue uhai wangu ili niwe mtu wa motoni daima
Nitaichagua CHADEMA ,Nitaipenda na kuitumikia milele daima.
sasa ole wako uichague CCM umeshakula kiapo cha UAMINIFU.
watumie wanachama wenzako 10 au zaidi.
Nitaichagua CHADEMA ,Nitaipenda na kuitumikia milele daima.
sasa ole wako uichague CCM umeshakula kiapo cha UAMINIFU.
watumie wanachama wenzako 10 au zaidi.