Habari zenu Greate Thinkers,
Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera zao.
Fikiria wanaendelea na kampeni zao kwa raha zao familia zao lakini wamesahau kwamba sisi wengine tunalia kilio cha kutekwa na kuuawa kwa sababu eti tunawakosoa.
Wananchi wanaotekwa na kuuawa ni wengi sana,wale maarufu tu ndio tunapata habari zao,lakini wapo wengi wanatekwa na kuuawa na sio maarufu ni wengi na unakuta familia zao ni duni,hata simu ya kutolea taarifa hazina.
Sasa kwanini tuendelee kuwashabikia watu ambao hawana utu na pia wote ni wanafiki,bila hata aibu hakuna hata mmoja wao anayekemea utekaji,si wazee au vijana wote ndani ya ccm hawana utu na watanzania wanaouawa,wanaona kama wanaopotezwa ni mbuzi tu au kuku.
Sasa nawaomba tuwakatae kwa kutofungua mada zao wala kuzisoma kama wenzetu wa mtandao wa x,kuna blog ya jambotv inapost sana mada za maccm lakini huwezi kuta watu wakikomenti, wameipotezea,na hata wanaosoma taarifa zao utakuta watu wawili mpaka watano tu na post imewekwa kutwa nzima.
Asanteni
#Swelana.