ovimbundu Member Joined Jul 12, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Jul 15, 2019 #1 Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake
Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake
Abby The Rider JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 470 Reaction score 747 Jul 15, 2019 #2 Ukikua utaelewa
ovimbundu Member Joined Jul 12, 2019 Posts 10 Reaction score 2 Jul 15, 2019 Thread starter #3 nikue mara ngap? Abby The Rider said: Ukikua utaelewa Click to expand...
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,446 Reaction score 50,169 Jul 16, 2019 #4 ovimbundu said: Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake Click to expand... Papuchi na kipochi manyoya ni synonyms
ovimbundu said: Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake -DAB -MKUYENGE -DUDU LA YUYU -JIWE PAPUCHI -KIPOCHI MANYOYA Nahitaj maana zake Click to expand... Papuchi na kipochi manyoya ni synonyms
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,284 Reaction score 23,570 Jul 16, 2019 #5 Jiwe ndio linaloongoza nchi kidikteta na siku hizi limejisahau mno na linataka kuhamishia ikulu na miundombinu yote kule chattle.
Jiwe ndio linaloongoza nchi kidikteta na siku hizi limejisahau mno na linataka kuhamishia ikulu na miundombinu yote kule chattle.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 16, 2019 #6 mengine utayajulia humu humu. kuna lingine, maagi mulaga-hii ni ile sanamu inayozaniwa ya jkn iliyotengenezwa na kigwangara kule burigi.
mengine utayajulia humu humu. kuna lingine, maagi mulaga-hii ni ile sanamu inayozaniwa ya jkn iliyotengenezwa na kigwangara kule burigi.