Haya ya hospitali ya nyamagana yanamsubiri MAGUFULI?

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
839
907
MAGUFULI Na sifa ya kuboresha sekta ya umma; mfano wa hospitali ya nyamagana.

Nimefika hapa saa tatu asb Na kuelekea mapokezi ambako ninaandika haya.
Nimepewa namba 65 ikiwa Na maana ndio mteja wa idadi hiyo Kwa siku ya leo lkn mpaka sasa sijaitwa huku idadi ya watu ikiongezeka Na tunaelekezwa kukaa ktk mabenchi ambayo yako 2 Na wagonjwa zaidi ya 60 huku yenyewe ukiwa Na uwezo wa kkuchukua watu 16 Kwa wakati mmoja!

Kuna namba limeandikwa za kutoa maoni lkn zinaishia kuelekea kama mtoa maoni karidhika Na huduma au la, bila kutaka ufafanuzi wa aina ya huduma au mtoa huduma.

Namba ya mfawidhi iliyobandikwa ktk bango haina majibu licha ya kutuma sms
Kweli MAGUFULI amefanikiwa kuboresha sekta ya umma. Hapa sijapanga foleni ya kumuona dr, maabara nk
 
uko nyamagana unalia hivyo! je ungewahi hudhuria zahanati ya homboza mvomero au mazae mpwapwa ama bushekya muleba ungesemaje!!?
 
Back
Top Bottom