Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo

lazima atakua m bongo huyo maana kwa kuiga maujinga hatujambo!

hao wala vyura kwa nyama za kutosha hakuna jamani
 
lazima atakua m bongo huyo maana kwa kuiga maujinga hatujambo!

hao wala vyura kwa nyama za kutosha hakuna jamani
@mama D yaani sisi Wabongo tunapenda kila kitu kuiga ahhh wacha wee Mama D....... Tutaiga visivyoigwa jamani.............
 
Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii

hivi ni macho yangu yanaona hivi au siku hizi macho yangu yamegeuka kuwa ni vidonda? Huyu jamaa si kajinyonga na chandarua? Kumbe chandarua badala ya kukukinga kinaweza kukuondoa pia duniani eeh?
 
hivi ni macho yangu yanaona hivi au siku hizi macho yangu yamegeuka kuwa ni vidonda? Huyu jamaa si kajinyonga na chandarua? Kumbe chandarua badala ya kukukinga kinaweza kukuondoa pia duniani eeh?
@Young_Master Chandaruwa kinaweza pia kukuwa ikiwa utakitumia kwa nia ingine zaidi ya kukinga na Mbu.
 
Mimi sioni kitu gani cha kuigwa hapo,
Hivyo ni vyakula vya asili ambavyo mababu zetu walikuwa wanakula
na vingine vingi kama,panya,ndege wa porini na mizizi mikavi na isiyo mikavu.
Ila sisi tunakasumba ya kuiga,wanyama wa kufugwa peke yake ndiyo tunaona wanafaa.
Turudi kula vyakula vya asili,tutakuwa na afya njema na hatuta nenepa kama mapipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…