Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo

530114_446379682055492_100000503913445_1672005_220947815_n.jpg

mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh

Uku niliko wanakula kila kitu naona..
 
Wala si kuiga chura huliwa katika mikoa ya kusini hasa wilaya ya Masasi, ni kitoweo kizuri kwa makabila ya Wamakuwa na Wayao. Wamakuwa huwaita moome(wengi) au nuume(mmoja). Si kila chura huliwa hawa ni aina yake ni wale wakubwa ambao mmoja anaweza kufikia uzito wa nusu kilo hadi kilo moja.
 
Mmmh! Mtu ambaye kila kitu kwake ni halali, ni mtu hatari sana kwa sababu haitaishia ktk kula tu.
MziziMkavu, lkn tunao jamaa hawa jamaa zetu wanaokula "samaki nchanga". :puke:
 
Last edited by a moderator:
530114_446379682055492_100000503913445_1672005_220947815_n.jpg

mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Hii kitu sio kuiga, hii mie nilienda Dodoma vijiji njia ya kwenda Mtera nimekuta wanakula hii kitu live. Ni kahoji inakuwaje wakase wao wagogo huwa wanatumia ni kawaida, nikakutana na mwingi kawatundika kwenye waya ndio katoka kuwakamata anapeleka kitoweo home.
 
530114_446379682055492_100000503913445_1672005_220947815_n.jpg

mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh

Mkuu mzizi umeniangusha. Nani atakuwa anaiga mwenziwe katika kula vyura na panya kati ya MMAKONDE na MCHINA? Kule Mtwara kuna mavyura fulani makubwa yanaliwa kama kawa kwa kuchemshwa bila hata kutolewa utumbo. Ngoja nikumegee asili yetu:

Kagera : Senene (jamii ya nzige baridi wa rangi ya kijani)

Mwanza na Shinyanga : Panzi Mijicho (watoto wanamwita kucha) huyu ni wa kijivu na ana miiba mikubwa kwenye miguu yake ya nyuma.

Mtwara: Vyura, panya (samaki nchanga), kenge na fungo

Ruvuma: Nyani, ngedere na panya

Rufiji: Jongoo miti (mabuu ya Nickel Beetle; hupatikana ktk miti iliyokauka na kuoza au katika mbolea. Wengi mnaweza msielewe, ni yale mafunza makubwa mnayoyaona kwenye magome ya miti mikavu na mbolea)

Iringa: wow wow woh, ane KUTRO che!

Akusombile Nnungu cha kumemena pasopa wena!

Mwingine anipokee nisije nikarogwa buree kwa kutoa siri za watu. Pengine ulikuwa hujui kuwa mkeo kabila lao wanamemena hata funza
 
Yaani nimetoka kula, ndo nikafungua hii nusu nitapike. Hivi naangaka kutafuta bitter lemon nipunguze kichefuchefu.
 
530114_446379682055492_100000503913445_1672005_220947815_n.jpg

mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Mbona hata mimi nakulaga hiyo kitu wakuu?tena mm nakula mpaka "MENDE,CHURA,JONGOO,KINYONGA,KONOKONO,VUNJA JUNGU,KOBE,CHATU,KENGE.sasa nyie mnashangaa hii "ndafu"ya jumping frog kha!
 
Mbona hata mimi nakulaga hiyo kitu wakuu?tena mm nakula mpaka "MENDE,CHURA,JONGOO,KINYONGA,KONOKONO,VUNJA JUNGU,KOBE,CHATU,KENGE.sasa nyie mnashangaa hii "ndafu"ya jumping frog kha!
Umevuta "BANGE"la wapi?au umetoroka milembe?
 
Back
Top Bottom