Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 4, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Najuuta kuingia humu leo!
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  lazima atakua m bongo huyo maana kwa kuiga maujinga hatujambo!

  hao wala vyura kwa nyama za kutosha hakuna jamani
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  @mwaJ Pole sana Mwaj :israel:
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  @mama D yaani sisi Wabongo tunapenda kila kitu kuiga ahhh wacha wee Mama D....... Tutaiga visivyoigwa jamani.............
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaa!!! MziziMkavu umemfuma wapi huyu jamaa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  @Young_Master yupo nje huyo anajaribu kula Vyakula kwenye Mahoteli ya Wachina hahaahahah kaniharibia siku yangu ya leo huyu.... nashindwa hata kula usiku.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  hivi ni macho yangu yanaona hivi au siku hizi macho yangu yamegeuka kuwa ni vidonda? Huyu jamaa si kajinyonga na chandarua? Kumbe chandarua badala ya kukukinga kinaweza kukuondoa pia duniani eeh?
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu. Inabidi siku nyingine uangalie hivi vitu ukiwa umeshakula.
   
 11. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwa msaada wa watu wa Marekani!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  @Young_Master Chandaruwa kinaweza pia kukuwa ikiwa utakitumia kwa nia ingine zaidi ya kukinga na Mbu.
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hahahaha! Man u,mpaka mmeamua kujinyonga? Teh! Teh! Teh! Inaelekea mwaka huu ushindi mgumu. Ni man city ndo inaleta matatzo kama haya ama?
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Jumatatu Asubuhi utubandikie na ya mtu wa yanga
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  aaaaaghhhhhhh...yaani imenikuta LIVE na plate ya fruits
   
 16. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  najuta kuangalia hii photos khaa!
   
 17. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lakini anaonekana kama chizi vile?! Maana yupo kifua/tumbo wazi badala ya kuvaa aproni.
   
 18. B

  Bunsen Burner Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wandugu aaaaaaah... Hiyo mbona Namibia kitu cha kawaida especialy kaskazini kwa Nujoma wauza barabani tu mishikaki....hahahahaaaa tembea uone!????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Eee?! huyu njemba bila shaka ni mwepesi kama sufu. Kama kaning'inia kwenye chandarua kilichotundikwa kwenye msumari mmoja!!
   
 20. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mimi sioni kitu gani cha kuigwa hapo,
  Hivyo ni vyakula vya asili ambavyo mababu zetu walikuwa wanakula
  na vingine vingi kama,panya,ndege wa porini na mizizi mikavi na isiyo mikavu.
  Ila sisi tunakasumba ya kuiga,wanyama wa kufugwa peke yake ndiyo tunaona wanafaa.
  Turudi kula vyakula vya asili,tutakuwa na afya njema na hatuta nenepa kama mapipa.
   
Loading...