Haya sio Mapenzi bali Uroda

Hilo sawa ndio limbwata , sio haya mengine ya kutiana uchizi
 
Mke wako bado ni huyu wa kwenye hii thread hapo chini?

Maana mwaka jana ulisema mna miaka 3, of which mwaka huu hesabu ingekuwa 4.

 
Mungu aitunze ndoa yenu
 
tunatunza kumbukumbu za uzi huu kwa matumizi ya baadae ikitokea utakuja kulalamika humu
 
Hebu tuma namba yake nimwelekeze kitu kuna utamu amesahau kukupatia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…