Haya sio maksudi mazima wadada kututega ?

hayo ni matatizo ya shibe...
wewe umekula umeshiba sasa ndo unapata matatizo na wadada na wanavyo vaa
uliza ambae kula yake ya shida akwambie.....

ndo maana watu wa dini wanashauri watu wafunge.....

shibe inakusumbua....

subiri siku uko juu ya mawe uone kama kuna dada atakae kuvutia

hili ndilo jibu la kuanzia mwaka 2012...naomba ruhusa yako nitumie jibu hili kwa wanaume wenzangu wenye complain za hivi!
 
Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko fukweni mwa Lake Victoria, nimekaa juu ya mawe, aidha mbele kwangu kuna binadamu wa rika tofautitofauti. Wengine wanaogelea, kuna wenye kuvua kwa kutupa ndoano na wengine wanazungukazunguka.


Katika eneo hili kuna mdada (aliesababisha thread hii ije hewani) Mdada amevaa suruali ya jeans iliotoa roadmap yote ya mwili ! Inshort watu Jf almost wote mnaishi mijini na mapigo style hizi mnayajua. Aidha mdada huyu anamiliki figure 8 kama wengi walivyo. Kwa vyovyote vile kwa mwanaume RIJALI akikupitia mdada alievaa kihivi utamwangalia mara mbilimbili na kukuondolea utulivu wa akili, kama una gazeti mkonono, unaandika msg cosentration ina athirika. Nawauliza wadada wenye kuvaa hivi hapa Jf (najua hawakosi) hii sio traps mnatutega ? Kwani msipo display map za miili yenu hatutawahitaji ? Na watakao niambia ni tamaa sitowaelewa! Itakua unafiki tu! Nafsi ni mgeni kila uchao.

bila kutegwa mnachelewa sana kuwapenda na umri unakwenda so mkitegwa ndo na mambo yanaenda faster!
 
We jifanye kama uko dukani tu unaangalia bidhaa zinazovutia wakati mfukoni huna senti.
 
Husna ! Haka ka'mchezo kameshakuingia damuni ! Kukatoa labda Apolo hosp - India. Sijui nikuanzishie litred! Then nikuchane live siri zako zile ulizokua unanikataza nisiziseme! Au sijui namimi NIKUCHAKACHUE iwe TUNACHAKACHUANA au tujiunge tuwe TUNAWACHAKACHUA wengine, embu chagua 1 kati ya hayo.

translate uliyoyaandika kwa kijapan. Kiswahili huwa kinanipa shida.
 
hayo ni matatizo ya shibe...
wewe umekula umeshiba sasa ndo unapata matatizo na wadada na wanavyo vaa
uliza ambae kula yake ya shida akwambie.....

ndo maana watu wa dini wanashauri watu wafunge.....

shibe inakusumbua....

subiri siku uko juu ya mawe uone kama kuna dada atakae kuvutia

Unatisha kaka....!
 
wanaenda na wakati ndo msemo wao siku hizi, tatizo lao hizo nguo wanazivaa kwenye public, mimi nikishauona ule mfereji wa wima akili inahama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom