Haya si mapenzi bali ni mahaba sasa

hajui kichwani kwake kuna nini huyo...!
 
kakizidisha cha geita huyo.alaf mxukuma ndo anataka kiidhinishwe si tutaanza kulala chooni?
 
Nadhan kale kajani kanahusika!!!!
 
Kipya kinyemi kuwa watu jamani hata akinunua viatu hataki kukanyagia chini halafu tembea sasa utachoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…