Haya sasa

asha; ushajiandaa?
mwajabu: ndo nmepiga hii ya pinki
asha; tufanye haraka kabla mama ake hajarudi
mwajabu: nina hamu
asha:ata mimi yani sijasuta mtu siku nyingi
mwajabu: uyo ashura atanitambua,si unajua yeye ndo kapeleka umbea nyumban kwamba natoka na mbuzi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…