Haya sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,721
Mkuu Bavaria umeamini hawa wazungu sometime akili zao hamnazo.. eti sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena yaani watakuwa na vikojoleo (vidushelele) vyao kama ma men.. Eee Mungu tuhurumie...😡😡😡😡
 
Kwahiyo wameamua kuvaa helment???....sasa hapo tuta access vipi???....anyway tufauti zetu hazipo kwenye mikao ya kukojoa tu,...so wana kazi kwelikweli.
 
Na usafi wake je?
Watakuwa wanasafiri na hivyo vifaa.
 
dah hatar ila watatuzid zao zitakuwa narangi nzur nawatakojolea popote
 
Yan watakua wanabaki na mikojo huko ndani mpak bbasi maan unatoka huku lipsi zimebana
 
kwa iyo akimalilza ataitia kwenye pochi au anaikuta chooni uko uko? ataiosha kila anapomaliza haja? ni sawa na kutembea na mkojo pochini.
 
Nini hatma ya ule usemi wa "Choo cha kike"?
 
Yani twende chooni kukojoa wote tusimame?
Haikubaliki.
 
Unavua nguo zote ndo unabadika au ukishabandika inabaki humohumo??? Kama inatolewa unaosha unahifadhi au unatupa?? Afadhali kuchuchumaa mara mia, hiyo dushe ukimaliza kukojoa uioshe bado na uoshe na mbunye ni kupoteza muda tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…