Nimependa sana, kama hapa kuna mchoraji stadi anichore namimi natembea hivyo weekend.
Mimi najua kuchora hata suti ukitaka ni PM
Nimependa sana, kama hapa kuna mchoraji stadi anichore namimi natembea hivyo weekend.
Njoo nikuchore mama, hiyo ndiyo fani yangu... ila wakati wa zoezi hilo kutakuwa na mapumziko/breki ya mara kwa mara....Nimependa sana, kama hapa kuna mchoraji stadi anichore namimi natembea hivyo weekend.
Yakianza manyunyu tu hiyo nduki yake ukikaa njiani shauri yako.....mvua ikikunyeshea umekwisha
Hata kama mvua isiponyesha, itabidi niende kwa babu anipatie mvua yangu niwe natembea nayo mfukoni. Demu akileta nyodo au akikataa kunipa Mbunye hapo hapo nafunga wingu na kushusha bonge la mvua ndani ya dakika 1 tu.waje tu, wajiroge kuchora na huku. Nashukuru Mungu tulijaliwa mvua, tena kama za safari hii hasa hasa dar...! Itafahamika ipi jeans upi mchoro.