na kuna mijitu humu inasemaga wazungu sijui waaminifu
uaminifu unauona nikikuoa na kuleta mrembo mwingine tuishi nae?
au sijakuelewa?
Uaminifu maana yake nini?????hasa katika swala kama hili.........,bado nauona uaminifu.
Mimi nimeona nisawa na mke wa pili kamleta ndani.......angetoka nae huko bila mimi kujua ningesema huyo si mwaminifu.Hapa ni mtu kuwa muwazi katika jambo lako kitu ambacho wengi wetu wa bongo hatuwezi.
uaminifu ulikuwa zamani siyo sasa!
mm nawapa big up!
ukijua wazi kuwa mwenzi wako ana mwingine ni vizuri zaidi kuliko akijificha!!!!
Unanipa hamu nilete posa uwe mke wa pili ha haa haa
but hii haina limit naweza ongeza watatu pia..kwa uwaazi kabisa
Ndo yatakuja hayo jiandae